Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Michongoma
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimepita google kuangalia hii kitu inakaaje..Nimeielewa sana. Je inakua haraka? Na hapa Dar inapatikana wapi?(mbegu au miche?)Sitaki niseme sana ila Mauritius thorn (Caesalpinia decapetala) (Fabaceae) ni mwisho wa matatizo, hakuna kiumbe anayepenya hapo
View attachment 1937312 View attachment 1937313 View attachment 1937314 View attachment 1937315 View attachment 1937316 View attachment 1937317 View attachment 1937318 View attachment 1937319
Wacha nigoogle. Haya majina mtaniua leo na nipo bar yanalewesha zaidi😂😂😂Vipi kuhusu Jerusalem thorn..!?
Kama una ndugu Mbeya au Njombe anaweza kukutafutia mbegu zake, juhudi yako kumwagilia katika hatua za awali ndiyo mafanikio yakoMkuu nimepita google kuangalia hii kitu inakaaje..Nimeielewa sana. Je inakua haraka? Na hapa Dar inapatikana wapi?(mbegu au miche?)
Mkuu hii si acacia kabisa hii kwa kiswahili wanaita mgunga. Huu ni mtu haufai kwa fence. Mwiba wake ukikuchoma unawasha mbayaaa
Kama una ndugu Njombe au Mbeya nadhani hata Iringa anaweza kukutafutiaMbegu zake zibapatikana wapi
ok. naijua kwa kibongo Sasa. tatizoMkuu bougainvillea mbona ni mmea maarufu sana asee View attachment 1937311
Ipo miti hutengeneza uzio, mingi tu. Sema muuliza swali huenda hajajieleza vema. Alipotaja miashok ,kwa mfano, ana maana miashok itakaa kama hivi tunavyoijua? Mti mmojammoja kwenye mstari? Ama kuhusu miti kutengeneza fence, nina mifano kadhaa. Hiyo michongoma kuna jamii kadhaa (sina hakika kama yote huitwa michongoma lakini). Ile inazaa matunda kama ukwaju ni miti mikubwa sana, sema namna tunaidhibiti(kuishindilia karibukaribu na kuikatia) ndiyo inakuwa vile tunavyoiona.Ukiuacha ni bonge la mti. Aidha, kuna ile kama jamii za pines, ile tunafanya miti ya Krismas, huwa ni miti mikubwa tu,nayo tunaiforce kuwa fence. Maeneo ya baridi kama Kilimanjaro hutumika sana.Mti unatengeneza fensi? Shrubs kama michongoma inafaa
Hiyo fence yako unataka ikae dizaini gani mkuu? Yani kama hivi tunavyoona miashoki inapandwa mti mmojammoja katika mstari? Unajua miti mingi tu hutengeneza fence, itategemea ujuzi wako wa kudhibiti katika kuipanda na kuikatia ikae vile utakavyo. Kwahiyo,kama unataka fence, ile imeshikamana kama ukuta kabisa, miti ninayoona inapendelewa ni ile jamii ya pines, tunatumia kama miti ya Krismas kipindi Kristo anazaliwa. Kuna ile wanaita michongoma (kuna kutofautiana majina hapa), ile inayozaa matunda kama ukwaju. Yote hii ikiachwa huru,ni miti mikubwa sana.Wadau nahitaji kupanda miti kuzunguka eneo langu, Nahitaji miti inayokwenda juu mfano Miashoki (isiwe ya kitambaa na kuhitaji pruning ya mara kwa mara).
Nimewaza kununia mihashoki lakini sijui kama inawahi sana kurefuka. Hivo naomba kama kuna mtu ana experience na speed ya ukuaji wa miashoki anijuze. Lakini pia napokea mawazo ya miti mingine ambayo naweza kutumia inayoendana na miashoki.
#NB; Kwa mtakaosema miashoki ina mikosi, naomba kuwajulisha kuwa nshalisikia kwa watu hilo na kwangu halina tatizo. Asanteni😋
Nataka ikae mstari na ishikae either kabisa aumajani yakaribiane sana. Na isiwe ambayo inahitaji kuitengemeza mara kwa mara (eneo ni eka 10, so ikiwa jamii ambayo nahitaji kuipruni pembeni mara kwa mafa itanicost sana, ila kama pruninga ya kuondoa mazagazaga ya pembeni ni mara 1 kwa miaka kama 3 basi hiyo nutaweza. Michongoma nimeiwazia ila inakuwa aggressive mno ikianza kutapakaa pembeni. Mwisho nawazia kati ya bougenvillea na miashoki.Hiyo fence yako unataka ikae dizaini gani mkuu? Yani kama hivi tunavyoona miashoki inapandwa mti mmojammoja katika mstari? Unajua miti mingi tu hutengeneza fence, itategemea ujuzi wako wa kudhibiti katika kuipanda na kuikatia ikae vile utakavyo. Kwahiyo,kama unataka fence, ile imeshikamana kama ukuta kabisa, miti ninayoona inapendelewa ni ile jamii ya pines, tunatumia kama miti ya Krismas kipindi Kristo anazaliwa. Kuna ile wanaita michongoma (kuna kutofautiana majina hapa), ile inayozaa matunda kama ukwaju. Yote hii ikiachwa huru,ni miti mikubwa sana.
Angalizo
Hali ya hewa ya sehemu unayoishi ni muhimu sana katika uchaguzi wa mimea utakayopanda. Michongoma inafaa sehemu za joto , na mingi iliyasalia sehemu za baridi. Bougainvillea(hii haiwi miti mikubwa saana, ni kama shrub) kwa mfano, inastawi sana sehemu za baridi kama Moshi na Arusha.
Asante. Mbeya yupo mtu naweza kumtuma. Asante mkuu💪Kama una ndugu Mbeya au Njombe anaweza kukutafutia mbegu zake, juhudi yako kumwagilia katika hatua za awali ndiyo mafanikio yako
Ukipata mbegu panda kwa interval ya kama sentimeta 50 toka mche hadi mche maana inashona balaa, na hapo hakuna kuku, mbwa, wala, paka, au mwizi atakayepita
inataka msimanizi kama gardenWazo la kwanza labisa lililuwa hilo na limenikaa kichwani muda mrefu sana. Tatizo ni kuwa eneo lina ukubwa wa acre 10, nikawaza hizo bougainvillea zikianza kutambaa pembeni itakuwa issue kuzipruni na zitajaa hadi barabarani. Otherwise ndio wazo langu la mwanzo kabisa na ambalo natamani hadi sasa niendelee nalo. Ila pruning itaniua na sijajua pia zinachukua muda gani kuanza kutambaa na kuhitaji pruning. Kama zinaanza kuzagaa pembeni kama after 3 years basi hapo naweza kupambana nazo😀
Sawa. Sasa umeweka vema. Mwanzoni nilikuw na mawazo ya majumbani. Miti mizuri kwa hicho unachotaka ni hii hapa chini (fungua link). Kitaalamu huitwa Milicia excelsa. Uitaji majina kwa mimiea ni kizungumkuti, utaona hapo common name wameuita mvule (sina hakika kama ndo mivule hiyo). Ni miti safi mno. Inanyooka na kuwa na mbao ngumu safi sana. Changamoto yake ni kukua taratibu. Mti mwingine ninaona unatumika sana Uchagani ni Grevillea. Cheki link ya pili. Hii haichukui muda kukomaa, nayo ni chanzo kizuri cha mbao laini.Nataka ikae mstari na ishikae either kabisa aumajani yakaribiane sana. Na isiwe ambayo inahitaji kuitengemeza mara kwa mara (eneo ni eka 10, so ikiwa jamii ambayo nahitaji kuipruni pembeni mara kwa mafa itanicost sana, ila kama pruninga ya kuondoa mazagazaga ya pembeni ni mara 1 kwa miaka kama 3 basi hiyo nutaweza. Michongoma nimeiwazia ila inakuwa aggressive mno ikianza kutapakaa pembeni. Mwisho nawazia kati ya bougenvillea na miashoki.
Eneo ni Bagamoyo mkuu.
Asante sana kwa ushauri mzuri sana. Nitaufanyia kazi. 💪Sawa. Sasa umeweka vema. Mwanzoni nilikuw na mawazo ya majumbani. Miti mizuri kwa hicho unachotaka ni hii hapa chini (fungua link). Kitaalamu huitwa Milicia excelsa. Uitaji majina kwa mimiea ni kizungumkuti, utaona hapo common name wameuita mvule (sina hakika kama ndo mivule hiyo). Ni miti safi mno. Inanyooka na kuwa na mbao ngumu safi sana. Changamoto yake ni kukua taratibu. Mti mwingine ninaona unatumika sana Uchagani ni Grevillea. Cheki link ya pili. Hii haichukui muda kukomaa, nayo ni chanzo kizuri cha mbao laini.
1.https://en.wikipedia.org/wiki/Milicia_excelsa#/media/File:Milicia_roadside_small.jpg
2.https://en.wikipedia.org/wiki/Grevillea_robusta#/media/File:Silveroak.jpg
zingatia
Hali ya hewa ya mahali ulipo ni muhimu sana. Waone wataalamu wa misitu wakupe shule na ushauri.Popote ulipo, tafuta ofisi za wakala wa misitu, huwa wanauza mbegu za miti ya aina nyingi. Ninajua Morogoro,kwa mfano, wapo. Usiende kwa wabongo, akina sisi tunaojiuzia miti chini ya kivuli,nenda ama tafuta mtaalamu.
Haya jiandae na nyoka wa kijani maana wanayapenda sanaMkuu bougainvillea mbona ni mmea maarufu sana asee View attachment 1937311
Huyu hakuweka vema mwanzoni. Anataka kuzungusha miti shambani. Sasa bougainvillea haiwezi kumfaa hata kidogo.kwanini usioteshe bougainvillea fence
Nyoka kwani wana tatizo gani mkuu?Haya jiandae na nyoka wa kijani maana wanayapenda sana