Tough lady
Senior Member
- Jul 24, 2013
- 151
- 183
KabisaMti unatengeneza fensi? Shrubs kama michongoma inafaa
Wazo la kwanza labisa lililuwa hilo na limenikaa kichwani muda mrefu sana. Tatizo ni kuwa eneo lina ukubwa wa acre 10, nikawaza hizo bougainvillea zikianza kutambaa pembeni itakuwa issue kuzipruni na zitajaa hadi barabarani. Otherwise ndio wazo langu la mwanzo kabisa na ambalo natamani hadi sasa niendelee nalo. Ila pruning itaniua na sijajua pia zinachukua muda gani kuanza kutambaa na kuhitaji pruning. Kama zinaanza kuzagaa pembeni kama after 3 years basi hapo naweza kupambana nazo😀kwanini usioteshe bougainvillea fence
Wacha niisearch hii nione kama urefu wake utanifaaTafuta erecta duranta. Haiwi mirefu lakini.
ngoja ni google maana mnanichezea na haya majina yenyu 🤣🤣🤣🤣kwanini usioteshe bougainvillea fence
Sasa hiyo itakuwa fence kweli mkuu? Au unataka kwa ajili wind break?Wadau nahitaji kupanda miti kuzunguka eneo langu, Nahitaji miti inayokwenda juu mfano Miashoki (isiwe ya kitambaa na kuhitaji pruning ya mara kwa mara).
Nimewaza kununia mihashoki lakini sijui kama inawahi sana kurefuka. Hivo naomba kama kuna mtu ana experience na speed ya ukuaji wa miashoki anijuze. Lakini pia napokea mawazo ya miti mingine ambayo naweza kutumia inayoendana na miashoki.
#NB; Kwa mtakaosema miashoki ina mikosi, naomba kuwajulisha kuwa nshalisikia kwa watu hilo na kwangu halina tatizo. Asanteni😋
Mkuu bougainvillea mbona ni mmea maarufu sana aseengoja ni google maana mnanichezea na haya majina yenyu 🤣🤣🤣🤣
Tatizo jina,.waswahili hatulijui hilo😂Mkuu bougainvillea mbona ni mmea maarufu sana asee View attachment 1937311
Wacha nigoogle hii kitu pia. Haya majina yanahitaji utulivu😀Sitaki niseme sana ila Mauritius thorn (Caesalpinia decapetala) (Fabaceae) ni mwisho wa matatizo, hakuna kiumbe anayepenya hapo
View attachment 1937312 View attachment 1937313 View attachment 1937314 View attachment 1937315 View attachment 1937316 View attachment 1937317 View attachment 1937318 View attachment 1937319
Michongoma na Mkonge.
Mbegu zake zibapatikana wapi