Miti ipi inakua haraka inafaa kwa fensi?

Aya majina yanampa mtoa mada kizunguzungu.
.
..
...
Kuna miti inafaa sana kwa fans tafuta huu Allocasuarina luehmannii
alafu utapata pesa lazima watu waje kujifunza jinsi ulivyoitunza 😁!.
Wallah mtaniua na haya majina...
Google watapata shida na mimi😀
 

Badala ya mivule (Milicia excelsa) anaweza kupanda mijohoro (Senna siamea), inakua haraka sana tofauti na mivule atasubiri sana.
 
Majani yanachafua sana.

Ujiandae kuweka bajeti ya kufagia kukusanya na kupeleka dampo kuchoma.

Kwa mazingira ya mjini saingine ni ngumu kuchoma takataka nyumbani.
Utasumbua majirani kwa moshi, hatari ya kuchoma nyaya za umeme n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…