Miti ipi inakua haraka inafaa kwa fensi?

Majani yanachafua sana.

Ujiandae kuweka bajeti ya kufagia kukusanya na kupeleka dampo kuchoma.

Kwa mazingira ya mjini saingine ni ngumu kuchoma takataka nyumbani.
Utasumbua majirani kwa moshi, hatari ya kuchoma nyaya za umeme
 
Labda hii mada tungeweza kwenda hatua moja mbele. Je katika hii mimea hakuna labda yenye inafukuza wadudu wakali kama ni shambani labda nyoka hawaipendi wanakimbia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…