Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kweli kabisaNa havitakaa viwe nje ya fashion
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaNa havitakaa viwe nje ya fashion
Kaka yangu ulivyo handisamu kuna anaediriki kukutosa!
Hiyo shepu unataka umfichie nani[emoji23][emoji23][emoji23]aah wee
Ni kweli kabisa, unashonewa mfuko si mfuko wala guniami ndo mana sishonagi kitenge kila nnavyoshonewa naona vibaya.
Wanaija wanashona balaa kuna Yule Asoebibella salute zake ..hapa nguva ikishonwa kama mtumbwi wa Chumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
mi ndo mana sishonagi kitenge kila nnavyoshonewa naona vibaya.

😂😂😂😂Ukiwa na kaumbo katamu hata kikishonwa na fundi Juma unatokelezea tu, sasa wenzangu na mie bora uhai tu.
Kaka yangu ulivyo handisamu kuna anaediriki kukutosa!