Mitindo mbalimbali ya vitenge

Mitindo mbalimbali ya vitenge

1581430053244.jpeg

1581430123890.jpeg

1581433482620.jpeg
 
Kuna fundi alikuwa ananishonea nguo alikuwa architect by professional. Alikua na kipaji cha ubunifu alitaka kujifunza kushona baada ya kumaliza form six akiwa amepasua. Baba yake ambae ni mwanasheria nguli alimwambia hakulea fundi charahani.

Bidada alipiga course yake safi, alipomaliza alimwambia mzee nimefanya ulichotaka sasa niache ninfanye ninachotaka.
Yupo wap sahivi... Marekani au.. Sababu stori za hivi ndo zinavyoishaga hivyo.
 
Sky asante kwa picha nzuri, nina muda sijavaa kitenge umenihamasisha sana church j2 kinanihusu.
 
Pia uwe na mwili usobadilika ila kama wenye miili leo kilo 90 kesho kilo 85 mtihani mtupu [emoji23][emoji23]
Nashonaga zangu zile bwaga ,mara za kuzungusha ama mapindo yan staili ilimradi iiswe tu ya kushape
Namshukuru Fundi wangu kwa kunitendea haki kwa kweli
mi ndo mana sishonagi kitenge kila nnavyoshonewa naona vibaya.
Wanaija wanashona balaa kuna Yule Asoebibella salute zake ..hapa nguva ikishonwa kama mtumbwi wa Chumbe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia uwe na mwili usobadilika ila kama wenye miili leo kilo 90 kesho kilo 85 mtihani mtupu [emoji23][emoji23]
Nashonaga zangu zile bwaga ,mara za kuzungusha ama mapindo yan staili ilimradi iiswe tu ya kushape
Namshukuru Fundi wangu kwa kunitendea haki kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mikanda ukiona umepungua kilo mbili unatupia mkanda juu ya gauni
1581452836599.jpeg
 
mimi nina kilo 62-65 nazungukaga hapo
mafundi tu wenyewe ila sina shape mbaya sana..nanunuaga vitenge vya kujifunga tu aisee

Back
Top Bottom