Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asoebibella ni noma aisee..... ila apa bongo wapo baadhi wanashona kwel kwl sema ndo hela yake ss unaingia boutique unapata nguo
yani mpaka nmechukia kushona.Ni kweli kabisa, unashonewa mfuko si mfuko wala gunia
Mafundi wazuri wanashona sawa na gharama ya nguo ya dukani.yani mpaka nmechukia kushona.
Mungu akinibariki sijui mambo ya Send off nafata nguo dukani
Sent using Jamii Forums mobile app
aa weee nikieka apa mtakimbia uzi huu[emoji23][emoji23][emoji23] maana shepu sjui ni namba 7 sjui ni9 au zote kwa pamoja
Yupo wap sahivi... Marekani au.. Sababu stori za hivi ndo zinavyoishaga hivyo.Kuna fundi alikuwa ananishonea nguo alikuwa architect by professional. Alikua na kipaji cha ubunifu alitaka kujifunza kushona baada ya kumaliza form six akiwa amepasua. Baba yake ambae ni mwanasheria nguli alimwambia hakulea fundi charahani.
Bidada alipiga course yake safi, alipomaliza alimwambia mzee nimefanya ulichotaka sasa niache ninfanye ninachotaka.
mi ndo mana sishonagi kitenge kila nnavyoshonewa naona vibaya.
Wanaija wanashona balaa kuna Yule Asoebibella salute zake ..hapa nguva ikishonwa kama mtumbwi wa Chumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mikanda ukiona umepungua kilo mbili unatupia mkanda juu ya gauniPia uwe na mwili usobadilika ila kama wenye miili leo kilo 90 kesho kilo 85 mtihani mtupu [emoji23][emoji23]
Nashonaga zangu zile bwaga ,mara za kuzungusha ama mapindo yan staili ilimradi iiswe tu ya kushape
Namshukuru Fundi wangu kwa kunitendea haki kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia uwe na mwili usobadilika ila kama wenye miili leo kilo 90 kesho kilo 85 mtihani mtupu [emoji23][emoji23]
Nashonaga zangu zile bwaga ,mara za kuzungusha ama mapindo yan staili ilimradi iiswe tu ya kushape
Namshukuru Fundi wangu kwa kunitendea haki kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app