Mitindo mbalimbali ya vitenge

Ukiwa na kaumbo katamu hata kikishonwa na fundi Juma unatokelezea tu, sasa wenzangu na mie bora uhai tu.
Hata Fundi Maiko Ndiyo Angewashonea Bado Wangependeza
 
Ukiwa na kaumbo katamu hata kikishonwa na fundi Juma unatokelezea tu, sasa wenzangu na mie bora uhai tu.
Hahaah hili nalo neno.

Ila kina fundi juma wanakoma jamani. Mtu unatoa limshono Nigeria huko unaenda kumstress fundi Juma akushonee kama huo

#TeamHaiba#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…