Mitindo mbalimbali ya vitenge

Mitindo mbalimbali ya vitenge

kwa misuto kumbe umo eeh? Hehehe, nakuja na popcorn, uaimuachie huyo atazoea.

King'asti unashadadia eee??
Ndugu wakigombana shika jembe kalime .....by the way nguo ndefu ndo fasheni sasa na vitengezzzz Ciello analijua hilo
 
Last edited by a moderator:
Vitenge vina ONGEZA UMRIII!!!!!!!! Msichana mdogoo unaonekana Mmama mtu mzimaaa!!!! Mambo gani hayo! Bibi wa miaka 40 nikijitupia Pencil skirt nikachomekea na kiblouse changu mayenu na mkanda wake juu, chini High hills na Pochi langu la tandika, nikaweka sunglasses UTANIJUAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!! Akhaaaaaaaa! Kama kigori cha 25 years!!!!!!!

Mpango wa sasa ni KUUKIMBIA UMRI kadri uwezavyo!!!!!!!! Sio kukubali shikamoo kirahis rahisi!

Na distribute vitenge wholesale kutoka Holland and Dutch 100 percent WAX ,vinanunuliwa balaa
 
Na distribute vitenge wholesale kutoka Holland and Dutch 100 percent WAX ,vinanunuliwa balaa

Aaaaaaaaah Wapi!!!!!!!! Skintight! Skin jeans! Leggings! Stockings! Avae nani kama sio mie!!!!! Vitenge nimemuachia Mama Lara 1 ajitambe navyo!!!!
 
ram, mi ni mgonjwa kabisa kwa ile miguu chupa ya dawa ya mbu, miguu myembamba kama fimbo za kupigia drums
3pcs-lot-Rhythm-Sticks-Electronic-Drum-Sticks-KFK2005-Air-drumstick-Novelty-Gift.jpg
aha aha aha aha.... we bujibuji wewe, yaelekea u mgonjwa wa miguu ya vyupa vya bia eeh!
 
Last edited by a moderator:
Inategemea kimeshonajwe
Smile nakubaliana na wewe; Pata picha ni ijumaa, umevalia suruali yako na top halafu unatupia na kikoti cha kitenge (kinacho match na hio outfit) Lazima utoke tu 😎
 
Tumekarishwa hayo yote na tamaduni zetu wote.
But the fact is any cloth material can be well designed and used anywhere.
again kama tangu mwanzo wa zama za babu zetu watu wange preffer kuvaa khanga or kitenge katika mahofice, iguess tungesema kwamba those cloth girls used to wear kwa mahofice yao sio sahihi.

Finally here's my point___
office ni place or mahali, i mean it might be a building or an open area or whatever ambapo mtu anaendeshea shughuli yake ya kila siku, kama shoeshine, mtu anaeshona nguo, office ya radio & tv, office ya carpenter and whatever, wanavaa vile wanapendeza machoni pa watu. A female teacher may wear a khanga designed cloth na amefunga kilemba yake kichwani anaendea office,

So mie nadhani hawako interested kuvaa hivyo basi wanafanya matakwa yao.

Hi.

You are right, hamjaona vitenge vimeshona mmezoea kuona mapande sita tu. Njoo nikushonee kitenge kama utakivaa sehemu wakakuquestion basi nitakulipa kila kitu + usumbufu. Tatizo la wabongo mna madharau, kwa nini unione mshamba kwa kuvaa kitenge, ila mama yako, dada, shangazi wakaivaa unaona wamependeza?
 
kila mtu na interest zake caro ila kitenge kinavaliwa popote sema inatakiwa mshono utofautiane kutoka sehemu na sehemu .wengine tuna hadi chupi na night dress za vitenge!
 
kila mtu na interest zake caro ila kitenge kinavaliwa popote sema inatakiwa mshono utofautiane kutoka sehemu na sehemu .wengine tuna hadi chupi na night dress za vitenge!

Sawa kabisa. Siyo lazima kila ninachovaa uapreciate!
 
Chris B. Daniel umeongea jambo la maana sana. Mkoloni physically tumemuondoa, bado mentally mkoloni anaendelea kututawala
Tumekarishwa hayo yote na tamaduni zetu wote.
But the fact is any cloth material can be well designed and used anywhere.
again kama tangu mwanzo wa zama za babu zetu watu wange preffer kuvaa khanga or kitenge katika mahofice, iguess tungesema kwamba those cloth girls used to wear kwa mahofice yao sio sahihi.

Finally here's my point___
office ni place or mahali, i mean it might be a building or an open area or whatever ambapo mtu anaendeshea shughuli yake ya kila siku, kama shoeshine, mtu anaeshona nguo, office ya radio & tv, office ya carpenter and whatever, wanavaa vile wanapendeza machoni pa watu. A female teacher may wear a khanga designed cloth na amefunga kilemba yake kichwani anaendea office,

So mie nadhani hawako interested kuvaa hivyo basi wanafanya matakwa yao.

Hi.
 
Last edited by a moderator:
point of correction me mzaramo nliyechanganyika na mndengereko...
Wale wakina uwt wanavaa mijitenge mi navaa kitenge.
Upo hapo???

wandengereko mnaongoza kwa uchawi
 
Angalia hata ustaarabu unakushinda, nenda katumbuliwe kwanza uje na jina la kiume, kila mtu anajua shape ya jibu imefanana na maungo gani ya Bin Adam wa kike halafu bado unajiita mwana wa kiumeni....

.....douchebag......

kumbe tigo yako na k vinakuwasha panga lini nikushughurikie
 
Back
Top Bottom