mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Ukiniuliza kwa nini muziki wa Reggae hauna vibe siku hizi jibu ni moja tu, dunia ya sasa hivi hakuna ukoloni wala ubahuzi wa rangi.
Aina hiyo ya muziki ilikuwa kwa ajili ya ukombozi, sasa kama hakuna ubaguzi wala ukoloni unamuimbia nani.
Hawa niliowataja ingekuwakipindi cha kudai uhuru wangetufaa sana kuwafokea wakoloni,lakini kwa sasa dunia hatuwahitaji, unanifokeaje Mtanzania mwenzio, nchi sio ya baba yako hii. Hii ni nchi yetu sote, big up kwa Jakaya Kikwetena Freeman Mbowe, miamba ya siasa nchini, hata ukiwatukana wao wanakuchekea tu na mkikutana anakupa mkono kukusalimia.
Hao ndio watoto wa mjini wanaojua siasa za kizazi kipya, hawaboi hawapoi.
TAL, Makonda na JPM followers something to learn here. Hizo sio siasabali harakati na mwisho wa wanaharakati huwa mbaya.
Niko na Peter Msechu studio tunarekodi wimbo.