Mitoto mingine sijui ikoje? Kazi ya ualimu ni ngumu sana aisee

Mitoto mingine sijui ikoje? Kazi ya ualimu ni ngumu sana aisee

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
1632451866775.png
 
Tatizo lipo kwa mwalimu, ameshindwa kumuelewesha mwanafunzi kuwa anapoambiwa kanusha inatakiwa afanye kitu gani,

Utakuta et mwalimu ndio anaona et mtoto ni kilaza, ualimu ni wito wengine hamjaitwa mmejipeleka tu
... tatizo liko kwa mwalimu kivipi Chief? Huo ni mtihani ulitegemea mwalimu amueleweshe maana ya kukanusha wakiwa ndani ya chumba cha mtihani? Wewe ndiye mwenye tatizo wa pili huyo mwanafunzi! Hukawii kuvamia shule kisa mwanao kafeli.
 
Waalimu ndo mna matatizo na kutaka mwanafunzi ajibu kikichopo kwenye marking scheme.....

Mm ningempa marks endapo angeweza kunipa tafsiri ya neno nimekanusha kwa usahihi.
 
Uto"tukosa"twa mwalimu,anaonekana alikua kilaza sana ,na mwalimu wake wa mwandiko alipata shida sana nae.
 
Back
Top Bottom