Lakini acheni yote watu msiishie kulaumu mwalimu tu, kila mtoto akifanya vibaya kosa lina kimbizwa kwa mwalimu, bila kutambua kuwa watoto wa kemikali hawa jamani, vichwa vigumu kama jiwe yani mwalimu anafundisha wee na kumaliza mbinu zote anaamini kwa jinsi alivyofundisha, mtoto yeyote atakuwa amemuelewa, mwalimu anauliza wanafunzi darasani, " mmeelewa" wanafunzi "ndio" then mwalimu anatoa zoezi basi hayo madudu utakayokutana katika zoezi unaweza ukalia na ukajuta kwa nini umekuwa mwalimu, nawapa pole walimu wote tanzania, bila kusahau wale wa sekondari ambao wanapelekewa tu makasamala ilimradi watoto wanaenda sekondari kusoma, ilimradi mwalimu wa shule ya msingi aonekane shule yake imefaulisha watoto wengi kumbe wanaenda kuwasababishia walimu hiko stress tu, uwalimu miaka hii no stress tu. Mwalimu anarudi nyumbani kichwa kinamuuma.