Tatizo lipo kwa mwalimu, ameshindwa kumuelewesha mwanafunzi kuwa anapoambiwa kanusha inatakiwa afanye kitu gani,
Utakuta et mwalimu ndio anaona et mtoto ni kilaza, ualimu ni wito wengine hamjaitwa mmejipeleka tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo dogo kichuochuo ana A kaambiwa akanushe na yey kakanusha tayari. Namna ya kuandika ukanushi wake ndo afundishwe kesho asubuh mwalimu. Usilazmishe uwauzie ubuyu tu
Mkuu hizo hesabu Mimi mwenyewe nilizionea Sana baada ya kufundishwa na sister, Tena alinifundisha kupitia table za kwenye madaftari, nilikuwa nazionea Sana Hadi walimu walinionea donge na kupelekea kunitafutia dosari ktk uandishi wa namba yaani nilikuwa nakosea kuandika namba mf 4.Hapo, Tatizo ni mwalimu,
Mimi nilipokuwa primary std 2 nilikuwa nashindwa hesabu za kuzidisha mfano, kama 3×4--- kwasababu tu Mwalimu alishindwa kunipa concept kwamba ni nini maana ya 3×4, ni hadi alipokuja bro, wangu mmoja akanifundisha kwamba 3×4, maana yake ni 3 ziwe 4 halafu unazijumlisha, yaani 3+3+3+3=12, kuanzia siku hiyo loo, nikawa moto wa kuotea mbali kwa multplication kitu ambacho nilikuwa najiuliza kwanini Mwalimu hakutumia hiyo concept kabla??!![emoji1787]
Waalimu nao ni tatizo kama hawana ubunifu katika kufundisha.
Wazazi washenz kama huyo wapo wengi sana mitaani.... tatizo liko kwa mwalimu kivipi Chief? Huo ni mtihani ulitegemea mwalimu amueleweshe maana ya kukanusha wakiwa ndani ya chumba cha mtihani? Wewe ndiye mwenye tatizo wa pili huyo mwanafunzi! Hukawii kuvamia shule kisa mwanao kafeli.
Mwalimu anarudi nyumbani kichwa kinamuuma. Halafu nyumbani anakutana na Mke/Mume naye tena anamletea za kuleta. Teh teh Teh😵Lakini acheni yote watu msiishie kulaumu mwalimu tu, kila mtoto akifanya vibaya kosa lina kimbizwa kwa mwalimu, bila kutambua kuwa watoto wa kemikali hawa jamani, vichwa vigumu kama jiwe yani mwalimu anafundisha wee na kumaliza mbinu zote anaamini kwa jinsi alivyofundisha, mtoto yeyote atakuwa amemuelewa, mwalimu anauliza wanafunzi darasani, " mmeelewa" wanafunzi "ndio" then mwalimu anatoa zoezi basi hayo madudu utakayokutana katika zoezi unaweza ukalia na ukajuta kwa nini umekuwa mwalimu, nawapa pole walimu wote tanzania, bila kusahau wale wa sekondari ambao wanapelekewa tu makasamala ilimradi watoto wanaenda sekondari kusoma, ilimradi mwalimu wa shule ya msingi aonekane shule yake imefaulisha watoto wengi kumbe wanaenda kuwasababishia walimu hiko stress tu, uwalimu miaka hii no stress tu. Mwalimu anarudi nyumbani kichwa kinamuuma.
Umemaliza mjadala,tatizo liko kwa mwalimu,hajamfundisha mwanafunzi akaelewa.Tatizo lipo kwa mwalimu, ameshindwa kumuelewesha mwanafunzi kuwa anapoambiwa kanusha inatakiwa afanye kitu gani,
Utakuta et mwalimu ndio anaona et mtoto ni kilaza, ualimu ni wito wengine hamjaitwa mmejipeleka tu
Tatizo ni mwalimu,sio mwanafunzi.Hapo kwa ufupi,ilikuwa aweleweshwe wakati akifundishwa.... tatizo liko kwa mwalimu kivipi Chief? Huo ni mtihani ulitegemea mwalimu amueleweshe maana ya kukanusha wakiwa ndani ya chumba cha mtihani? Wewe ndiye mwenye tatizo wa pili huyo mwanafunzi! Hukawii kuvamia shule kisa mwanao kafeli.
Tatizo ni mwalimu,sio mwanafunzi.Hapo kwa ufupi,ilikuwa aweleweshwe wakati akifundishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app