kipozi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2015
- 1,315
- 1,702
Unafikiri Kama babaako alikukataa ukiwa mdogo ukienda kwake umeshakua mkubwa atakuambia nlikukataa? Au nilikwepa majukumu ya kukutunza? Lazima akubadilishie stori ukimpata babaako umeshakua mkubwa sio tegemezi tena lazima utamuona mwema Sana na atakupokea vzuri kweli kweliMama anatakiwa ampe mtoto nafasi ya kujua hilo pia. Watoto hupenda kujua ukweli wa hayo madai ya mama kuwa baba alikutelekeza, na wengine
Mamaako hawezi kukupeleka kwa babaako upate kuamua mwenyewe Kama Ni mzuri au mbaya kwasababu ya hasira mtu kashakukatalia mtoto na kukwepa majukumu unampeleka mtoto amjue ili iweje shida hujajiweka kwenye nafasi ya huyo mama