Mitsubishi Canter (EHP) Tani 2.5 Inauzwa TZS. 35m
.
Full AC
2830cc
Manual
Diesel
Gari ni mpyaaa
.
Bei: TZS. 35m
.
0717 650800
.
Full AC
2830cc
Manual
Diesel
Gari ni mpyaaa
.
Bei: TZS. 35m
.
0717 650800
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThanksAll the Best
Yaani gari la tani 1.5 unaita tani 2.5? 4m40 cc2800 ubebe tani 2.5 kweli? Mmoja jana alipakia mbao nyingi sana kweny canter ya tani 1.5 kilichompata hata kaa asahauMitsubishi Canter (EHP) Tani 2.5 Inauzwa TZS. 35m
.
Full AC
2830cc
Manual
Diesel
Gari ni mpyaaa
.
Bei: TZS. 35m
.
0717 650800
Tani 2.5 mkuuYaani gari la tani 1.5 unaita tani 2.5? 4m40 cc2800 ubebe tani 2.5 kweli? Mmoja jana alipakia mbao nyingi sana kweny canter ya tani 1.5 kilichompata hata kaa asahau
Kivipi?4M40 engine...... kizunguzungu
Hata mi nimeshangaa hata kama magari yamepanda bei lakn kununua 4m40 kwa bei hiyo ni zaidi ya kutoa sadaka mtaji wako.Kwa milioni 35, ni bora ununue Mitsubishi Rosa, Mitsubishi Canter Long base, Guta zako aina ya Toyo za kutosha, au Fuso Tipper ya kulenga! Walau unaweza ukaambulia chochote. Ila siyo hivi Vi canter vidogo. Na uzuri naongelea through experience.
Naomba niambie chassis number inauzwaje?Hata mi nimeshangaa hata kama magari yamepanda bei lakn kununua 4m40 kwa bei hiyo ni zaidi ya kutoa sadaka mtaji wako.
Chassis number nayo inauzwa?Naomba niambie chassis number inauzwaje?
Swali sio lako kwann usinyamaze tu?Chassis number nayo inauzwa?
Nani kasema siyo swali langu?Swali sio lako kwann usinyamaze tu?
Acha nikuache tu aisee 😂Nani kasema siyo swali langu?
Acha ujuaji wewe, kubali usahihishwe. Kwanza hakuna canter ya tani 2.5 yenye cc ya 2830.Tani 2.5 mkuu
Hii gari ni Tani 2.5 acha ujuaji...Ahsante kwa kusema engine haifai....Naomba nikuulize kwann 4M40 haifai?Acha ujuaji wewe, kubali usahihishwe. Kwanza hakuna canter ya tani 2.5 yenye cc ya 2830.
Naomba nitoe uzoefu wangu wa miaka 8 kwenye biashara ya canter kuanzia flat body (isiyoweza kubinua) hadi dumper high deck (inayobinua na spring juu).
Engine type Engine capacity Tonnes
4D32 3500 (2)
4D33 4210 (2)
4D35 4560 (2)
Hivyo basi, kwa Cc za gari yako hiyo, ni uhakika kuwa haina uwezo wa tani 2.
NB. Pamoja na specification hizo tajwa hapo juu, 4D33 ( mninga) pamoja na 4D35 (min fuso) uwa nazifanyia modification kiasi cha kubeba tani 4. Hata hivyo sahihi kufanya hivyo, ila maisha ya kibongo yanatulazimisha kufanya hivyo. Kwa taarifa yako engine ya gari lako ni zaidi ya tatizo, hakuna engine hapo ndugu (4M40).