Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa Watanzania

OUtlander ya kuanzia 2013 nimeiona nzuri sana...ila kibongo bongo sio nyingi sana
Gari ambazo naona zimeanza kuagizwa sana ni kluger new models
Zakuhesabu, sema tra ndio wanatuua sana kwenye kodi, hapa naiwaza hii ya 2023 naangalia review zake tu ina unyama sana ila kuimiliki labda 2030 huko si upuuzi huu. [emoji3][emoji3]

Sent from my CPH1989 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Engine ya Mitsubishi iliyo na ubora huo
 
Nahitaji msaada wa kumpata fundi competent wa mitsubish outlander.
Natanguliza shukrani
 
Hii chuma inatua next month ipo kwenye maji sasa hivi ila bado ninahitaji ku ingage na wazoefu wa hizi vyuma wanielekeze mitaa mizuri ambayo wao huwa wanapeleka kuzipiga spana incase ikitokea tatizo.
Natanguliza shukrani
Kama uko Dar zipo garage nzuri za kufanya hayo just in case ila uwe positive usiwaze sana hizo mambo. Ni kama vile unatarajia kupata mtoto afu unaanza kuwaza akiugua itakuaje, stay positive garage zipo nyingi hata kama hauko Dar huko huko ulipo utapata fundi/garage nzuri mkuu.

Nikupongeze tena kwa kuchagua huyu mnyama Mie namuelewa vyema na wala sijutii kumnunua.
 
Aise ukipata muda utupe benefits kidogo unazopata kwa outlander ukicompare na SUV zingine za kawaida
 
Aisee hivi kuna link ya watu wa Outlander? Ukiipata naomba na mimi jamaa
Nipo dsm mkuu
Ahsante saana mkuu, ushauri makini saaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…