Haswaa sema nini hii gari kama mizunguko yako ni town trip itakupasua wallet kiaina ila ni safi tu. Yote tisa kama una route ndefu aisee ni kama haili mafuta tembea uwezavyo mafuta yanayotumika ni kidogo mno.gari tamu saana iyo bablai
[emoji23]Mistubish...
Ukiiona barabarani aidha imetoka garage au inaenda garage..
Ni hayo tu ...
Hii ndiga auction grade yake ni ngapi si chini ya 3?, kama ndio io sijui maana unaweza iotea nzuri au tatizo kua makini na grade 3,2 na 1.Bei sio mbaya View attachment 2499744
3.5 - 0 huwa zinakua zinafanyiwa marekebisho makubwa huenda zilipata ajari au shida nyingine tofauti na ajari zilizo sababisha gari kufanyiwa hayo marekebisho.Tofauti ya grade hizo ni nini?
Hahahahaha sio poa aise.3.5 - 0 huwa zinakua zinafanyiwa marekebisho makubwa huenda zilipata ajari au shida nyingine tofauti na ajari zilizo sababisha gari kufanyiwa hayo marekebisho.
Ingawa kwa auction grade 3 na 3.5 unaweza iotea nzuri maana nyingi shida inakua sio ajari sana sana wanafanya overwhoul tu na zina anzia 100KM kuja juu huku mpaka 250KM ila zina hali nzuri mara chache sana kupigwa.
Ushauri, gari used nzuri ni zinazo anzia grade 4 - 6 ambazo ni chini ya 100KM. Elimu zaidi search google utapata maelezo zaidi.
Mimi nilijua hayo baada ya mtu kuagiziwa gari kimeo imefika imechoka baraa kama haijatoka japan watu wana zambi aisee[emoji3]
Kuna hii outlander ya Cc1990-2000/Haswaa sema nini hii gari kama mizunguko yako ni town trip itakupasua wallet kiaina ila ni safi tu. Yote tisa kama una route ndefu aisee ni kama haili mafuta tembea uwezavyo mafuta yanayotumika ni kidogo mno.
Kingine hii gari ni nzito, kuna ile uko high way 120-130km/h unapishana na lorry mzigo umetulia tuli sasa kuna baadhi ya vyuma ukipishama na lorry uko speed lazima utayumba tu
Kuna hii outlander ya Cc1990-2000/
Una uzoefu nayo pia mkuu ukitoa ile ya cc 2350/2400
picha ya gari tafazaliGari nzuri zisizoongelewa sana na wabongo
Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana, ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa watanzania.
Gari hizi zinavitu vingi sana ambapo gari nyingine kama Toyota huwezi pata hasa ukilinganisha bei yake.
Mitsubishi outlander 2006 - 2015
1.Ni gari inakuja na charging system ya laptop, yaani unaweza kuchomeka switch sockate na ukaweka charger yako vizuri... Kwa kifupi
Gari hili linabadili umeme wa dc kwenda ac.
Kwa watu wanaopenda kutumia laptop wakiwa safari hii gari unaweza kutumia laptop toka Dar mpaka Mwanza, bila kuizima unafanya kazi tu au unaangalia series.
2.Gari hii inakuja na kifridge kidogo kuweka vivywaji uwapo safarini.
3.Gari hii ina option ya 4WD
4.Gari hii inakuambia muda wa kupumzika ukichoka safarini.
5. Gari hii inakuja na mziki mziti yaani subwoofer isiyojaza buti.
6.Gari inakuja na seat 7.
7.Gari hii ina option ya manual na automatic.
8. GARI hii ina gear 6, inaifanya itumie mafuta kidogo.
Hii gari bei yake ipo chini ya kina harrier, kulger na Vanguard. Kitu ambacho hivi vitu vyote vingekuwa kwenye hizo gari bei zake zisinge shikika.
Hapana mkuu sina uzoefu nayoKuna hii outlander ya Cc1990-2000/
Una uzoefu nayo pia mkuu ukitoa ile ya cc 2350/2400
makini saana mkuuZipo vizuri pia japo ni za kubahatisha mtandaoni ukitaka kuagiza! Nna mwanangu alibahatisha moja yupo nayo mpka sasa sijawahi kumskia akilalamika.
Asante sana kwa maelezo mazuri.Haswaa sema nini hii gari kama mizunguko yako ni town trip itakupasua wallet kiaina ila ni safi tu. Yote tisa kama una route ndefu aisee ni kama haili mafuta tembea uwezavyo mafuta yanayotumika ni kidogo mno.
Kingine hii gari ni nzito, kuna ile uko high way 120-130km/h unapishana na lorry mzigo umetulia tuli sasa kuna baadhi ya vyuma ukipishama na lorry uko speed lazima utayumba tu
Hili nilishajibu huko juu, lita moja kwenye high way unaweza kwenda km12/13 au 15 kabisa.Asante sana kwa maelezo mazuri.
Lita Moja inatembea km ngapi?
Link hii ni ya wamiliki wa Mitsubishi outlander pekee Mistubish Auto PartsAisee hivi kuna link ya watu wa Outlander? Ukiipata naomba na mimi jamaa.
Umetisha saana mkuu