Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,401
- 9,555
Agiza harrier makalio ya nyani ukiichoka njoo tufanye biasharaWakuu ninunue gari ipi kati ya hizo budget 34m
Agiza harrier makalio ya nyani ukiichoka njoo tufanye biasharaWakuu ninunue gari ipi kati ya hizo budget 34m
istTafuta barabara iliyo bize sana kupita magari, uwe na notebook andika majina ya hayo magari kisha anza kunote idadi kila aina ya gari inayopita kwenye orodha uliyonayo. Jioni rudi nyumbani hesabu gari gani Ina idadi kubwa, kisha chukua hiyo
Kwenye orodha hiyo ist haipo, kuna Mitsubishi outlander, Subaru Forester na Harrier
EstupidoChukua punda
namaanisha ukikaa kando ya barabara yenye shughuli nyingi gari itakayo onekana mara nyingi ni istKwenye orodha hiyo ist haipo, kuna Mitsubishi outlander, Subaru Forester na Harrier
MazafancuroEstupido
Tajiri unataka kuniambia vvti 2AZ 2300 cc ina performance kuizid MIVEC 2300 CC.
Get your fact right. I bet.....hujatumia hizo gari, au umetumia Kluger/Harrier hujatumia Mitsubishi Outlander. Outlander ni gari inaizidi Kluger/Harrier tako la nyani kwa vitu vingi.
Yeah, kluger ni sura ngumu. Hata hivyo, wenye mapesa yao wahame huko kwa toyota. Brand ya Toyota imekuwa uniform hapa bongo. Basi kama hamuwezi gari za ulaya, hamieni kwenye Subaru, suzuki, mitsubishi nk.Kluger siyo Handsome...amekosa muonekano😂
😃😃😃Acha kudharau watu bossHuyu jamaa huwa anawachosa tu,hakuna mnunuzi hapa.
Actually,kuna kila dalili ya changamoto ya afya ya akili hapa!
Kuna moja nili iona kwa Hawa waarabu,ni hizi new model chuma kime simama haswa.Chukua Mitsubishi Outlander, ni gari gumu ukilinganisha na Harrier tako la nyani, 2AZ ni moja ya engine kimeo za vvti. MIVEC ni engine bora, ni nadra kukuta Outlander inataka mswaki hasa ikianza 150km. 2AZ kwa km hizo jiandae kukaka half au uweke mswaki.
Chukua Outlander, usichukue mkononi kwa mtu. Utafurahia hiyo gari kwa miaka mingi.
Na Mimi nijifunze kunyamaza 😂😂Evelyn Salt, Black Sniper ushauri wowote 🦅
I still repeat 🦅 😂Na Mimi nijifunze kunyamaza 😂😂
Nyuzi zaidi ya nne mtu anaulizia gari la kununua na magari ni hayohayo tu!😃😃😃Acha kudharau watu boss