Mitsubishi outlander, Subaru Forester au Harrier nichukue lipi?

We unafikiriaje mkuu? Services/huduma za gari unadhani mchezo.
Du!. Nilichojifunza ni vema kupata ushauri mzuri juu ya gari kulingana na kipato chako.
 
Yes, usikurupuke kununua gari kisa ulipata zari la 30m ambalo hujui lini tena utapata.
 
Japo Viongozi wetu roho mbaya sana wenzetu wanatumia magari Kwa muda Fulani wanatupa sisi tunayanunua Kwa bei na USHURU mkubwa sana tukitaka tudumu nayo.
 
Back
Top Bottom