Mitsubishi outlander, Subaru Forester au Harrier nichukue lipi?

Tafuta barabara iliyo bize sana kupita magari, uwe na notebook andika majina ya hayo magari kisha anza kunote idadi kila aina ya gari inayopita kwenye orodha uliyonayo. Jioni rudi nyumbani hesabu gari gani Ina idadi kubwa, kisha chukua hiyo
ist
 
Chukua Mitsubishi Outlander, ni gari gumu ukilinganisha na Harrier tako la nyani, 2AZ ni moja ya engine kimeo za vvti. MIVEC ni engine bora, ni nadra kukuta Outlander inataka mswaki hasa ikianza 150km. 2AZ kwa km hizo jiandae kukaka half au uweke mswaki.

Chukua Outlander, usichukue mkononi kwa mtu. Utafurahia hiyo gari kwa miaka mingi.
 
Yeah naona umeshindwa kunielewaπŸ˜‚I meant Outlander ni nzuri kuliko Harrier/kluger kwenye perfomance
 
Chukua outlander...
Kwa pesa yako unapata outlander modern hata ya 2017 na ina low mileage kama hii...



huwezi kutembea mita 100 hujakutana na harrier barabarani...
 
Kluger siyo Handsome...amekosa muonekanoπŸ˜‚
Yeah, kluger ni sura ngumu. Hata hivyo, wenye mapesa yao wahame huko kwa toyota. Brand ya Toyota imekuwa uniform hapa bongo. Basi kama hamuwezi gari za ulaya, hamieni kwenye Subaru, suzuki, mitsubishi nk.
 
Kuna moja nili iona kwa Hawa waarabu,ni hizi new model chuma kime simama haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…