Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Wacha uongo wako mara mojaChukua Mitsubishi Outlander, ni gari gumu ukilinganisha na Harrier tako la nyani, 2AZ ni moja ya engine kimeo za vvti. MIVEC ni engine bora, ni nadra kukuta Outlander inataka mswaki hasa ikianza 150km. 2AZ kwa km hizo jiandae kukaka half au uweke mswaki.
Chukua Outlander, usichukue mkononi kwa mtu. Utafurahia hiyo gari kwa miaka mingi.
Kuna moja nili iona kwa Hawa waarabu,ni hizi new model chuma kime simama haswa.
Wacha uongo wako mara moja
Nimewahi kuhesabu idadi ya Harrier kwa Dsm. Ni nyingi balaa. Nafikiri ukitoa IST, zinafuata Harrier kwa kuwa na idadi kubwa.Tafuta barabara iliyo bize sana kupita magari, uwe na notebook andika majina ya hayo magari kisha anza kunote idadi kila aina ya gari inayopita kwenye orodha uliyonayo. Jioni rudi nyumbani hesabu gari gani Ina idadi kubwa, kisha chukua hiyo
Huwezi kulinganisha harrier/kluger performance na outlander. Hapo sasa utakua huzijui vizuri hizo gariSijadanganya popote mzee, hizo engine ni teknolojia mbili tofauti, MIVEC vs VVTI.
Kusema Kruger/Harrier ina performance kuizid Outlander ndio ninachokataa, na nitaendelea kukataa, nipeni majina yote.
Yeah ni kweli,hizo gari kwanza hata ukitaka kuuza haiuziki kirahisi..na hata ukiuza unauza kwa bei ya chini sana. Imagine jamaa yangu alinunua mwaka jana kwa mil 23,no EH baada ya kuzinguliwa sana na hiyo gari ameamua kuiuza mwaka huu kwa bei ya Tsh mil 16 na kaamua kununua RunxHuwezi kulinganisha harrier/kluger performance na outlander. Hapo sasa utakua huzijui vizuri hizo gari
Outlander zina changamoto kubwa sana ya engines na gearbox. Hapo bado hujagusa suspensions
Ukitaka kugundua zina shida kubwa jiulize tu inakuwaje bei ya cross suv ni ndogo kiasi hiko? Outlander bei yake sawa tu na IST. Wengi huzikimbilia mara ya kwanza sababu ya bei ndogo. Hii ndio SUV yenye bei ndogo
Mwenyekiti hajibu PM.Intelligent businessman , vipi ile ishu mkuu
Ngoja nimcheki mkuuMwenyekiti hajibu PM.
Issue gani kaka?Intelligent businessman , vipi ile ishu mkuu
Nimekucheki pm masterIssue gani kaka?
Barida masterNimekucheki pm master
Huwezi kulinganisha harrier/kluger performance na outlander. Hapo sasa utakua huzijui vizuri hizo gari
Outlander zina changamoto kubwa sana ya engines na gearbox. Hapo bado hujagusa suspensions
Ukitaka kugundua zina shida kubwa jiulize tu inakuwaje bei ya cross suv ni ndogo kiasi hiko? Outlander bei yake sawa tu na IST. Wengi huzikimbilia mara ya kwanza sababu ya bei ndogo. Hii ndio SUV yenye bei ndogo
Mkuu bei ya Mitsubish outlander iko chini. Hata ukiingia kule kwenye website ya Be foward..iko chini ukilinganisha na Harrier,kluger ama Vangurd. Ni SUV pekee ambayo bei yake iko chini mnooMsingi wa hoja yangu ni mdau kulinganisha engine "performance" baina Mivec na VVTi zenye cc sawa, yaani 2AZ vs Miv 2.3 na kuisagia kunguni MIVEC.
Ishu ya bei ni sawa ni tofauti, ni tofauti kidogo sana ya bei sio kubwa. Ni kweli soko la Mitsubishi bongo lipo chini sababu ni "consumer behaviour" juu ya Toyota. Lakini hiyo hailifanyi Outlander kuwa gari baya kiasi cha mdau, kuliita takataka. π
Chukua Harrier. Subaru zinakufa sana engine. Tena inaweza kufa pale unapihitaji zaidi gari kuliko wakati wowote. Ingawa nakushauri fikiri kama ukiweza Nunua Kluger ipo Safi sana kuliko harrier. Na inadumu iko stable Sana barabarani. Ukinunua Subaru hakikisha una Toyota Hata IST kwasababu at anytime Unaweza kurudi kupanda Boda. Ila ukiwa na Toyota ni sana ngumu kulala njiani kwasababu mafundi wapo wengi. Pia ukinunua Subaru jiandae siku kuuza million 3 π. Toyota kulala njiani Labda engine ife. So fikiria bajeti hiyo inatosha kununua Kluger piaWakuu ninunue gari ipi kati ya hizo budget 34m
Kuna jamaa angu alinunua mil 21, akawa anaiuza kaja kuuza kwa mil 9 kwa kufosi sanaYeah ni kweli,hizo gari kwanza hata ukitaka kuuza haiuziki kirahisi..na hata ukiuza unauza kwa bei ya chini sana. Imagine jamaa yangu alinunua mwaka jana kwa mil 23,no EH baada ya kuzinguliwa sana na hiyo gari ameamua kuiuza mwaka huu kwa bei ya Tsh mil 16 na kaamua kununua Runx
Kwenye performance kwa mazingira yetu bado VVTI ni best option.Msingi wa hoja yangu ni mdau kulinganisha engine "performance" baina Mivec na VVTi zenye cc sawa, yaani 2AZ vs Miv 2.3 na kuisagia kunguni MIVEC.
Ishu ya bei ni sawa ni tofauti, ni tofauti kidogo sana ya bei sio kubwa. Ni kweli soko la Mitsubishi bongo lipo chini sababu ni "consumer behaviour" juu ya Toyota. Lakini hiyo hailifanyi Outlander kuwa gari baya kiasi cha mdau, kuliita takataka. π
Anasema watu wamezoea Toyota, kama ni hivyo mbona CX5, Tiguan zinauzwa beiπMkuu bei ya Mitsubish outlander iko chini. Hata ukiingia kule kwenye website ya Be foward..iko chini ukilinganisha na Harrier,kluger ama Vangurd. Ni SUV pekee ambayo bei yake iko chini mnoo