Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,441
- 8,408
I don't think this is a good adviceTafuta barabara iliyo bize sana kupita magari, uwe na notebook andika majina ya hayo magari kisha anza kunote idadi kila aina ya gari inayopita kwenye orodha uliyonayo. Jioni rudi nyumbani hesabu gari gani Ina idadi kubwa, kisha chukua hiyo
Hahaa,hyo gari sijui waliikosea wapi..japo ina muonekano mzuri sana.Kuna jamaa angu alinunua mil 21, akawa anaiuza kaja kuuza kwa mil 9 kwa kufosi sana
Kuna baadhi ya gari mtumiaji anapaswa kuwa shabiki (mpenzi) kindakindaki wa kampuni hiyo, ananunua hategemei resale value bali akiimiliki anapata moyo unataka, hakuna mahali kuna makosa kwenye Outlander ni gari nzuri sanaHahaa,hyo gari sijui waliikosea wapi..japo ina muonekano mzuri sana.
So what's good advice from you!!!I don't think this is a good advice
Ni kweli kabisa. Outlander Cross SUV inauzwa bei sawa na IST wakati harrier tako la nyani ikiwa pimped unazungumzia 40m+ bei mara mbili ya OutlanderKwenye performance kwa mazingira yetu bado VVTI ni best option.
Bei tofauti kidogo? Hapana, tofauti ni kubwa
Outlander ya 2005 au 2006 Ina range kwenye mil 21 mpaka 23
Harrier ya 2005 au 2006 Ina range kwenye mil 35 mpaka 38
Model za mbele ndio usilinganishe kabisa maana outlander imeachwa mbali kwa bei
Wala si suala la consumer behavior wala pia si suala la wabongo kuzoea Toyota. Ingekuwa hivyo basi Touareg au tiguan ingekua inauzwa bei chini ya suv za toyota. Au Audi Q series zingekua chini ya toyota
Angalia mazingira yako ya maisha yakuongoze, kama location, kama mtu wa safari, rough roads, umri, starehe n.k 1. Kama ni mtu mzima sana na hauna mambo mengi nenda na harrier.Wakuu ninunue gari ipi kati ya hizo budget 34m
Mitsubishi reliability yake haiizidi Subaru wala Toyota, tena hapo kwa magari mengi sio hizi aina tatu anazouliza. Ingekuwepo Honda nayo ingeizidi Mitsubishi kwa reliability, au unahisi kwanini hiyo kampuni imepoteza market share duniani.Kluger/Harrier huwezi ku-compare na Outlander interms of perfomance
Bro be for real...yaani Harrier 2WD ufananishe na Outlander 4WD???
Mkuu sijui watu wanashida gani, tukubaliane kutokukubaliana kwamba kila mtu anamapenzi yake, watu wanaamini kwamba kuna gari ambazo haziharibiki kirahisi lakini nyingine zinaharibika kilahisi. Bei ya Outlander iko chini si kwa sababu ni mbovu ila uhitaji wake huku kwetu bado uko chini. Wabongo tunanunua magari kwa kuangalia upatikanai wa spea, kunywa mafuta na mafundi ila mimi naamini katika matunzo.Jamaa itakua anaichukulia poa outlander
Mleta mada njoo utupe mrejesho ulichukua gari gani kati ya hizo tatu? Na vipi unaionaje?Wakuu ninunue gari ipi kati ya hizo budget 34m
Chukua hio outlander...Huu uzi unanichanganya
Nilitaka kuagiza outlander kutokana muonekano wake, idadi ya seat baada ya kusoma uzi huu nimevurugwa
πππHuu uzi unanichanganya
Nilitaka kuagiza outlander kutokana muonekano wake, idadi ya seat baada ya kusoma uzi huu nimevurugwa
Bora uchukue Harrier mkuu,,,kwasababi ninaona ina perfomance nzuri kuliko hizo,,,pia haisumbui sana
Huyu jamaa yeye ni mfuasi mkubwa wa German cars, hawezi kutumika kama reference ya choices kwenye gari za kijapani. Mimi nina harrier tako la nyani mwaka wa pili huu ninajua faida za hii gari.
ForesterWakuu ninunue gari ipi kati ya hizo budget 34m
Mzee unahudumia gari amekuwa mke?. Naomba ufafanuzi tafadhari.Huyo ni kwa sababu hana hela, alipata ya kununulia ila ya kuhudumia hana au anayo kwa ajili ya gari ndogo. Kifupi huyo ndugu yako aliruka stage.
Ukiweza kuhudumia Harrier(tako la nyani) hushindwi Outlander au Forester. Hizo ni gari za level moja, calibre moja.
We unafikiriaje mkuu? Services/huduma za gari unadhani mchezo?Mzee unahudumia gari amekuwa mke?. Naomba ufafanuzi tafadhari.