J C JF-Expert Member Joined Dec 12, 2013 Posts 3,191 Reaction score 2,721 Jul 20, 2026 #81 ERoni said: We unafikiriaje mkuu? Services/huduma za gari unadhani mchezo. Click to expand... Du!. Nilichojifunza ni vema kupata ushauri mzuri juu ya gari kulingana na kipato chako.
ERoni said: We unafikiriaje mkuu? Services/huduma za gari unadhani mchezo. Click to expand... Du!. Nilichojifunza ni vema kupata ushauri mzuri juu ya gari kulingana na kipato chako.
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,787 Reaction score 131,638 Jul 20, 2026 #82 J C said: Du!. Nilichojifunza ni vema kupata ushauri mzuri juu ya gari kulingana na kipato chako. Click to expand... Yes, usikurupuke kununua gari kisa ulipata zari la 30m ambalo hujui lini tena utapata.
J C said: Du!. Nilichojifunza ni vema kupata ushauri mzuri juu ya gari kulingana na kipato chako. Click to expand... Yes, usikurupuke kununua gari kisa ulipata zari la 30m ambalo hujui lini tena utapata.
J C JF-Expert Member Joined Dec 12, 2013 Posts 3,191 Reaction score 2,721 Jul 20, 2026 #83 ERoni said: Yes, usikurupuke kununua gari kisa ulipata zari la 30m ambalo hujui lini tena utapata. Click to expand... Japo Viongozi wetu roho mbaya sana wenzetu wanatumia magari Kwa muda Fulani wanatupa sisi tunayanunua Kwa bei na USHURU mkubwa sana tukitaka tudumu nayo.
ERoni said: Yes, usikurupuke kununua gari kisa ulipata zari la 30m ambalo hujui lini tena utapata. Click to expand... Japo Viongozi wetu roho mbaya sana wenzetu wanatumia magari Kwa muda Fulani wanatupa sisi tunayanunua Kwa bei na USHURU mkubwa sana tukitaka tudumu nayo.