Mitume na manabii wa kileo ni viumbe waliojaa, ghiliba, uroho ubinafsi na uchoyo uliopitiliza

Sikujua kumbe umaskin uko bado sana nchini..anyway chama fulani mtaji wake ni watu wajinga ..hiko chama kinafanya kazi na hawa matapeli ili ki maintain idadi ya wajinga isipungue ili waendeleee kuwamiliki nakuwatawala huku matokeo yakiwa ni kupata utajiri wa kutisha.
 
Subiri uambiwe we ni kobazi,subiria kula bikira 72, wakristo acha wapigwe,wajanja wanatajirika kupitia wakristo
 
Nahisi jana kilinge kilicatch fire!
 
11. Michango ya safari za mtumishi (uinjilishaji +kwaya).
 
Kilinge kikishika moto vinavyoungua ni vitu yabisi. Vile vinavyoonekana
 
Wanajifanya wanawaonea huruma wakati mtaani kwao hata kutoa msaada kwa wenye njaa na dhiki hawajawahi kufanya,ila likija suala la manabii na mitume mishipa inawatoka,mi nawaona ni wapumbafu na wanafiki.
Inashangaza lakini ndio ukweli, eti unaye muhurumia anakutolea povu " Mtuache na mtume/Nabii wetu, kaletwa na Mungu..blah blah".
Waachwe wapigwe, mpaka watie akili.
 
Tatizo sio Jamii .. Tatizo lipo kwa waliokasimiwa kuiongoza Jamii.. Tulikosea pakubwa tulipoipa siasa hadhi kubwa kuliko taaluma..View attachment 3176214

Hii nukta kubwa sana, ndio maana sisi wengine tunasema siasa ya Kidemokrasia ni ushetani.

Kuna mambo yanaondoshwa na utawala yaani uongozi wa juu. Mfano utapeli kama huu serikali ilitakiwa iingilie kati na kuutokomeza sababu ni wizi wa Bure na Kuna Ushirikina wa wazi ndani yake.
 
Last Sunday mchana nilikuwa mitaa ya Kawe ile barabara ya chini mara magari yakazuiwa! Hi dereva aliyenibeba wa bajaj kuna nini? Akasema ni mtumishi anatoka kwenye ibada.. Jamaa ana ulinzi mkubwa na msafara wake unasindikizwa na traffic
Hahaha, Nchi ya wajinga hii, subiri tupate Uhuru halafu nigombee Urais na nishinde, watahama nchi hii. Hakuna tabaka la wezi wa juu wala wa chini, ukiwa mwizi ni jela tu basi.
 
Huwa tunawaangalia kwa dharau na kebehi kubwa sana
Hao muwachukulie kuwa ni wateja maalum wa daraja la kwanza(First class) na hivyo wanastahili kulipia Huduma kwa mtindo wa Fast Track i.e. Tozo heavy na kwa muda mfupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…