Mitume na manabii wa kileo ni viumbe waliojaa, ghiliba, uroho ubinafsi na uchoyo uliopitiliza

Hawa manabii wa uongo waabudu mashetani watakokota wengi kuzimu. Watu huangamia kwa kukosa maarifa Hosea 4 :6
 
Na ndio maana ccm inashinda kila chaguzi.
Ndio maana maccm wako karibu na mitume na manabii.
 
We akili yako inatumika ya kichwa cha chini sio cha juu
 
We akili yako inatumika ya kichwa cha chini sio cha juu
Kwana unadhani mimi ni mmoja wapo ya wale matoto mapumbavu yanayo sema bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu?
 
Hao muwachukulie kuwa ni wateja maalum wa daraja la kwanza(First class) na hivyo wanastahili kulipia Huduma kwa mtindo wa Fast Track i.e. Tozo heavy na kwa muda mfupi.
Na usiri mkubwaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
I think they also process the demons of making their followers idiots.

Majority ya wafuasi hawako sawa.
 
Haya ndiyo wafanyayo

The powerful magic ring to help you get more people/ congregations in your church, grow your church into a bigger one, heal people, perform miracles Call 0r whatsapp me...... to purchase the ring.
#juju #charm #spell #mystic #babalawo #nativedoctor #herbalist #orisha #voodoo #santeria #pagan #occult #shaman #lucumi #oshun #oya #yemaya #ifa #shango #olokun #power #ochosi #goddess #gods #ogun #wicca #witch #witchcraft #ase #psychic
 
Hawa manabii wa uongo waabudu mashetani watakokota wengi kuzimu. Watu huangamia kwa kukosa maarifa Hosea 4 :6
The powerful magic ring to help you get more people/ congregations in your church, grow your church into a bigger one, heal people, perform miracles Call 0r whatsapp me 072 070 1000 to purchase the ring.
#juju #charm #spell #mystic #babalawo #nativedoctor #herbalist #orisha #voodoo #santeria #pagan #occult #shaman #lucumi #oshun #oya #yemaya #ifa #shango #olokun #power #ochosi #goddess #gods #ogun #wicca #witch #witchcraft #ase #psychic
 
Wazeee washakula mgao wa kwanza wa kampeni, ni moja ya kundi litakalo kula mpunga mwingi kipindi cha uchaguzi.

Kila siku zinavyoenda wasanii ushawishi wao unapungua, naamini Team za kariakoo( hasa hasa Yanga na uongozi) pamoja na hawa manabii wamewekewa gawio kubwa zaidi ya wasanii wataneemeka 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…