Miujiza kuhusu Therapy ya bamia

Miujiza kuhusu Therapy ya bamia

Mwezi Agosti nitawaletea maarifa ya dawa ya vidonda ya iodine ya asili

Majani hayo yanaota kila mahali na huwa tunayakatilia mbali kama majani sumbufu....

Tumalize hili la bamia kwanza
Agoati imepita, na sasa ni Novemba. Sijasahau hii ahadi.

Nipo mjini na hayo majani tulishayalima kitambo.

Nikitulia nawaletea uzi
 
Mwezi Agosti nitawaletea maarifa ya dawa ya vidonda ya iodine ya asili

Majani hayo yanaota kila mahali na huwa tunayakatilia mbali kama majani sumbufu....

Tumalize hili la bamia kwanza
Mkuu msanii hii umeshaileta?
 
Amani iwe kwako mwanaJF unayesoma uzi huu.

Mahitaji
1. Bamia mbichi 2 (zisizokomaa) View attachment 2633788
2. Bilauri ya maji (nusu lita)

Maelekezo

  1. Safisha bamia kwa maji safi, kisha zikatekate vipande. Unaweza kuzichana katikati mara nne ili ukizikatakata zionekane kama vibanzi vya chips. View attachment 2633787
  2. Tumbukiza vipande vya bamia kwenye bikauri (glass) safi uliyoiandaa
  3. Jaza maji safi ya kunywa kwenye bilauri ya nusu lita. Maji yasiwe ya baridi wala moto. Yawe ya kawaida lakini yawe safi. View attachment 2633791
  4. Funika bilauri kwa chombo safi. Subiri kwa muda wa saa 8+
    eagle-industries-diabetic-try-okra-water-jpg.2633792
  5. Ikishatimu saa 8+, chuja maji hakikisha hakuna kipande cha bamia kinachobaki
  6. Kunywa maji uliyochuja
Muhimu
Kunywa dozi hii kwa muda wa wiki moja kisha pumzika kwa siku nne kisha endelea tena kwa wiki moja na mapumziko yake hadi zitimie wiki nne.

Unaweza kufanya maandalizi ya bamia usiku kabla ya kwenda kulala ili ahsubuhi uyatumie yale maji kabla haujapata kifungua kinywa.

Utaona mabadiliko kwenye maradhi yanayokusumbua na unaweza kurudia therapy hiyo kwa muda wa miezi miwili ukizingatia mapumziko ya siku nne kila baada ya wiki moja.

Kama una matatizo ya

  1. Vidonda vya tumbo
  2. Diabet
  3. Joints kuuma
  4. Kupoteza ute kwenye joints
  5. Upungufu wa CD4
  6. Vidonda (sugu au vya diabetic)
  7. Kupoteza hamu ya kula
  8. Unataka anti-aging
  9. Etc
Kwa ambaye hauumwi chochote unaweza kutumia therapy hii utaona afya inavyoimarika

Nimeona nishare nanyi hii siri kwa sababu kwangu imetenda makubwa na imeokoa maisha yangu.

Tupendane

picha kwa msaada wa mitandao
Ahsante kwa zawadi hii ubarikiwe Sana.
 
Ahsante kwa zawadi hii ubarikiwe Sana.
Mkuu
Karibu sana

Wengi imewasaidia sana. Jitahidi kutumia na kuacha kwa muda kabla ya kuendelea ili mwili usitengeneze usugu.

Jambo lingine jitahidi kula vyakula vyepesi usiku kwani unapokula heavy meal mwili unatenegenza wese na glucose nyingi zisizotakiwa. Kuhusu ulaji wa kawaida kula chochote ilimradi mafuta na chumvi visiwe vingi.

Maisha matamu sheikh
 
Niltaka kuuliza hili na mimi

Pia swali la nyongeza Mkuu Msanii mimi ni mtu wa jogging asubuhi je naweza kunywa nikaenda kukimbia kwa ushauri wako???
Bamia ukishaichuja inakuwa umeshaiondoa lishe yake yote. Haina thamani kuliwa tena. Hakikisha mkuu unachuja usitumie hata mbegu ndani ya hicho kinywaji. Kuna watu wanaisaga na blender ambapo haisaidii sana kwani uchujaji wake ni mtihani.

Mkuu, kama unafanya jogging unaweza kutumia kabla au baada ya joggy. Nakuhakikishia ndani ya mwezi utaona mabadiliko kwenye ngozi ya mwili wako.

CC heartbeats
 
Kuweni waangalifu na chemicals za anti-aging kwani zinasababisha complications baadaye.

Mkiweza pls, zidisha ulaji wa vyakula vilivhochemshwa badala ya kupikwa
 
Shukran sana Mkuu... chama cha msingi kilinimaliza nguvu za magoti nadhani sasa nalud kuwa kamili
 
Kuweni waangalifu na chemicals za anti-aging kwani zinasababisha complications baadaye.

Mkiweza pls, zidisha ulaji wa vyakula vilivhochemshwa badala ya kupikwa
Noted Mkuu barikiwa sanaa🙏
 
Shukran sana Mkuu... chama cha msingi kilinimaliza nguvu za magoti nadhani sasa nalud kuwa kamili
Kuna mtu mmoja alinijuza kuwa ukichukua kokwa ya parachichi ukaiparaza na kuianika bila kupigwa na jua halafu ukaisaga kwa blender. Unga wake unaweka kijiko cha chai kwenye chakula yaani mboga, chai, uji, supu unarejesha nguvu ya mkwaruzo kwa haraka sana.

Waliotumia mkongo na kuwa waraibu waane kujirejeza maana hali halisi watapoteza hata uwezo wa kupenga kamasi
 
Issue kubwa ilikuwa magoti bado yamekataa miaka nenda ludi😀huwa nakimbia huku nasikia maumivu
 
Issue kubwa ilikuwa magoti bado yamekataa miaka nenda ludi😀huwa nakimbia huku nasikia maumivu
Bamia itakusaidia.
Pia nakuwekea hapa kitu cha ziada utasoma ingredients uitafute kwa wasambazaji....

1000186297.jpg
 
Mwezi Agosti nitawaletea maarifa ya dawa ya vidonda ya iodine ya asili

Majani hayo yanaota kila mahali na huwa tunayakatilia mbali kama majani sumbufu....

Tumalize hili la bamia kwanza
Mkuu ikikupendeza tuelekeze na hili pia
 
Back
Top Bottom