Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana.Amani iwe kwako mwanaJF unayesoma uzi huu.
Mahitaji
1. Bamia mbichi 2 (zisizokomaa) View attachment 2633788
2. Bilauri ya maji (nusu lita)
Maelekezo
Muhimu
- Safisha bamia kwa maji safi, kisha zikatekate vipande. Unaweza kuzichana katikati mara nne ili ukizikatakata zionekane kama vibanzi vya chips. View attachment 2633787
- Tumbukiza vipande vya bamia kwenye bikauri (glass) safi uliyoiandaa
- Jaza maji safi ya kunywa kwenye bilauri ya nusu lita. Maji yasiwe ya baridi wala moto. Yawe ya kawaida lakini yawe safi. View attachment 2633791
- Funika bilauri kwa chombo safi. Subiri kwa muda wa saa 8+
![]()
- Ikishatimu saa 8+, chuja maji hakikisha hakuna kipande cha bamia kinachobaki
- Kunywa maji uliyochuja
Kunywa dozi hii kwa muda wa wiki moja kisha pumzika kwa siku nne kisha endelea tena kwa wiki moja na mapumziko yake hadi zitimie wiki nne.
Unaweza kufanya maandalizi ya bamia usiku kabla ya kwenda kulala ili ahsubuhi uyatumie yale maji kabla haujapata kifungua kinywa.
Utaona mabadiliko kwenye maradhi yanayokusumbua na unaweza kurudia therapy hiyo kwa muda wa miezi miwili ukizingatia mapumziko ya siku nne kila baada ya wiki moja.
Kama una matatizo ya
Kwa ambaye hauumwi chochote unaweza kutumia therapy hii utaona afya inavyoimarika
- Vidonda vya tumbo
- Diabet
- Joints kuuma
- Kupoteza ute kwenye joints
- Upungufu wa CD4
- Vidonda (sugu au vya diabetic)
- Kupoteza hamu ya kula
- Unataka anti-aging
- Etc
Nimeona nishare nanyi hii siri kwa sababu kwangu imetenda makubwa na imeokoa maisha yangu.
Tupendane
picha kwa msaada wa mitandao
Wapendwa poleni kwa subira kubwa.Tunakusubiri Msanii
Ungeongeza na nguvu za kiume uzi ungevamiwa balaa.Amani iwe kwako mwanaJF unayesoma uzi huu.

du nitajaribu hiiKuna mtu mmoja alinijuza kuwa ukichukua kokwa ya parachichi ukaiparaza na kuianika bila kupigwa na jua halafu ukaisaga kwa blender. Unga wake unaweka kijiko cha chai kwenye chakula yaani mboga, chai, uji, supu unarejesha nguvu ya mkwaruzo kwa haraka sana.
Waliotumia mkongo na kuwa waraibu waane kujirejeza maana hali halisi watapoteza hata uwezo wa kupenga kamasi