Miujiza kuhusu Therapy ya bamia

Asante sana.
 
Tunakusubiri Msanii
Wapendwa poleni kwa subira kubwa.
Nimekuwa bize balaa na lile jukwaa pasua kichwa maana kule ni full maandamano na hatuhitaji kibali cha Wambura wala Muliro kuandamana, sana sana hawalali wanakesha kutulinda kule jukwaa la siasa.

Kuna mmea mmoja nilioneshwa na wazee fulani huko milimani. Ngoja niufanyie majaribio tena leo kisha niwaletee hapa.

jani hilo linaonekana kama magugu vile lakini ni huduma nzuri ya kwanza kwa mtu aliyepata jeraha la kukatwa ama kuchanika
 
Ungeongeza na nguvu za kiume uzi ungevamiwa balaa.
 
du nitajaribu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…