Kwanza elezea miujiza ni nini? Kwa kutumia hayo maelezo ndiyo uniambie miujiza hapo iko wapi?Majengo yote yamesombwa hilo eneo zimebaki sanamu za Budha tu!
Mbona hata miti midogo tu bado nayo imesimama?Ni tukio liliowashangaza wengi duniani Sanamu ya Budha kubaki imesimama imara wima katikati ya Mafuriko View attachment 3659816
Shida iko wapi?Wanavyoabudu sanamu na viumbe, watapeleka vyakula na matunda hili Mungu ale. Acha tu
Ingekuwa imetokea kwenye dini ya upande wako usingesema hii kauliMnapenda ligi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kila mmoja anavutia upande wake.
Nimecheka 😆Hilo nalo ni tukio la kushangaza?🙆
Hizo sanamu ambazo ndio miungu yao ilibidi izuie hayo mafuriko yanayoipitia sio kusimama imara
Sasa jambo kama hilo halina maelezo kivipi yani kwenye akili za kawaida za binadamu?Miujiza ni jambo la ajabu la kushangaza lisilio na maelezo katika akili za kawaida za binadamu.
Mnoooo , ulivyotokea ule moto uliounguza USAKwanza ukiachana na hiyo sanamu, hayo maafa yangetokea kwenye nchi mojawapo either yenye wakristo wengi au waislamu wengi maoni ya mtu mweusi yangekua tofauti sana.
Hujui kinachoendelea.Ingekuwa imetokea kwenye dini ya upande wako usingesema hii kauli
Proud to be mnakuwaga na shida sana
Architectural designing.Ni tukio liliowashangaza wengi duniani Sanamu ya Budha kubaki imesimama imara wima katikati ya Mafuriko View attachment 3659816
Muujiza ni kitu chochote kinachokwenda tofauti na laws au principles za physics.Miujiza ni jambo la ajabu la kushangaza lisilio na maelezo katika akili za kawaida za binadamu.
Nijuze kinachoendeleaHujui kinachoendelea.
Ni heri ufunge bakuli lako.
Waislamu wanadai Mungu kashusha laana kwa sababu hao watu wa Nepal walichoma vitabu vya dini na kuchoma misikiti kwa hiyo ameshusha laana ya mafuriko .Nijuze kinachoendelea
Bakuli sifungi maku weeeHujui kinachoendelea.
Ni heri ufunge bakuli lako.
mimi nitashangaa ikiwa nitaambiwa hapo kwenye mafuriko kulikuwa na majengo imara kuliko hiyo sanamu yamepitiwa KirangaNi tukio liliowashangaza wengi duniani Sanamu ya Budha kubaki imesimama imara wima katikati ya Mafuriko View attachment 3659816
Haina shida hiyo wote wamejaribu kutoa mawazo yao.Waislamu wanadai Mungu kashusha laana kwa sababu hao watu wa Nepal walichoma vitabu vya dini na kuchoma misikiti kwa hiyo ameshusha laana ya mafuriko .
Na mafuriko yenyewe hayajatokana na mvua kabisa bali barafu tu zimeyayuka na kusababisha mafuriko kama adhabu.
Wakati huo huo waabudu masanamu nao wanaamini masanamu yao ni miungu ya kweli ndio maana licha ya mafuriko kuwa makubwa kiasi gani lakini bado masanamu yao yameweza kusimama imama licha ya nyumba na magari kusombwa na hayo mafuriko.
Na hawa waabudu masanamu wamerejea pia tukio kama hilo la mwaka 2013 kulitokea mafuriko makubwa India na sanamu lao lilikuwa katikati lakini halikuweza kabisa kuyumbishwa na mafuriko.
Skendo yako ya ushoga bado tunayo tutaipandishia uzi muda sio mrefu.Bakuli sifungi maku weee