Miujiza Nepal; Sanamu ya Budha yabaki imesimama imara katikati ya Mafuriko makubwa!

Yani sikutegemea kabisa jibu kama hili kiukweli na kwa jina la ID yako, daah nimesikitika mno nyie mnaojikuta ndiyo wakristo wasafi pepo ya kwenu mnafanya vitu vya kipumbavu sana kuliko hata Abbot wa monasteri. Ndiyo maana hata katika mafundisho ya Yesu alisema wazi yule anajiona amesimama na aangalie asianguke.
Kama vitu gani mkuu!
 
1) YESU alitembea juu ya maji na alituliza dhoruba.

2) Hayo masanamu yangetaka kutuonyesha maajabu yangenyanyuka yaanze kutembea. Sio tu kutembea juu ya maji, yatembee tu hata barabarani. .

Hamna kitu weka humo 🗑🗑.

3) Kuhusu majanga ya asili yanayoendelea duniani: matetemeko, mafuriko, moto, joto kali, vita, ni utimizo wa unabii wa siku za mwisho, BWANA YESU AMEKARIBIA! !

Haya ndiyo manyunyu ya Dhiki Kuu inayokaribia kuanza hivi karibuni.

4) Huu ni wito wa toba kwa wasio amini. Amini kuwa:

YESU alikuja duniani, aliteswa hadi kufa, kisha kufufuliwa, ili kulipia dhambi zako ili upate haki ya kuishi milele kwenye Ufalme wa MUNGU!

5) Unabii wa siku za mwisho:

i) "Malaika wa kwanza akapiga tarumbeta yake. Mchanganyiko wa mvua ya mawe na moto pamoja na damu ukamwagwa juu ya nchi. Theluthi moja ya nchi ikaungua, theluthi moja ya miti ikaungua na majani yote mabichi yakaungua."
Ufunuo.8.7.BHN

ii) "Kila mahali kutakuwa na mitetemeko mikubwa ya ardhi, njaa na tauni. Kutakuwa na vituko vya kutisha na ishara kubwa angani.

Kutakuwa na ishara katika jua na mwezi na nyota. Mataifa duniani yatakuwa na dhiki kwa sababu ya wasiwasi kutokana na mshindo wa mawimbi ya bahari."

Luka.21.11,25.BHN

iii) "Kisha malaika wa nne akamwaga bakuli lake juu ya jua. Jua likapewa nguvu ya kuwachoma watu kwa moto wake.

Basi, watu wakaunguzwa vibaya sana; wakamtukana Mungu aliye na uwezo juu ya mabaa hayo. Lakini hawakutubu na kumtukuza Mungu."

Ufunuo.16.8-9.BHN

6) Huyu Williampopeyt katengeneza Obvious End Times Sign Series. Check this one Series Number 33:

View: https://youtube.com/shorts/Swk8wW2Td14?si=XBOGNqbr10lZTy31
 
Nimekuja kugundua kwanini pamoja na kuwa Biblia inaonyesha mpaka Yesu anakuja kutakuwa kumeshatokea majanga mengi duniani, lakini hapo hapo inasema atakuja watu watakuwa wanakula na kunywa, kuoa na kuolewa, as if nothing is happening! !

Ni kwasababu kila sehemu ya dunia itakuwa na janga lake! Kiasi kwamba kama hauko macho / sensitive unapitwa na what is actually happening. Utashtukizwa!

Tena yatakuwa kama uchungu wa kuzaa, maana yake kuna muda wa uchungu mkali na muda wa kupumzika, na muda wa mapumziko unapungua kuelekea mwishoni hadi mtoto atoke.

Wakristo literally wanachinjwa kama kuku huko Nigeria na Sudan.

Kuna multiple wildfires going on in the world at the moment. Watu wanapoteza kila kitu!

(Tulikuwa tunaongelea kutunza chakula kwa ajili ya dhiki kuu, tukasema tumeona ndugu zetu Marekani huko mapastor kabisa wametoka ndani na kabegi ka nguo mgongoni, kila kitu kimechomwa. Kwahiyo tusihangaike na habari za kutunza chakula. Tutatunza magunia bahari ya hindi ifanye yake hata punje moja hatutookota. God will provide. Anayeweza atunze)
 
Matetemeko makubwa nchi tofauti at once (unakuta watu wanaanza ku debate sijui ni man made earthquakes so sio unabii! ! Unabii umesema kutakuwa na matetemeko mengi makubwa, haijasema nini kitaleta hayo matetemeko)

1000079031.jpg

Kwa kifupi kengele ndio hii AMKENI AMKENI BWANA WETU AMEKARIBIA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Hiyo ndo miujiza ya Budha sasa
Na hii pia imetokea huko huko Nepal
Ila kwa maelezo ni Physics zaidi katika ujenzi imetumika na kufanya matope yapite kwa pembeni au kutawanyika
 
Attachments

  • IMG_3632.jpeg
    IMG_3632.jpeg
    448 KB · Views: 8
Kama huwezi kuthibitisha kwa uhakika kwamba imani ya mtu mwingine ni ya uongo, una msingi gani wa kuidhihaki badala ya kusema tu kwamba huikubali?
Yah! ni mawazo yako mkuu,
Moja kati ya jambo MUNGU alilopinga kwa ukali ni ibada ya sanamu!

Hata Eliya aliwaambia manabii wa baali mbona mungu wenu hajibu au ameenda kulala au amesinzia?

So shetani anafanya vitu kupitia wanadamu!
Hata yesu anamwambia
Petro nenda nyuma yangu shetani... Kwa sababu alijua nini kilicho chini ya kapeti mkuu...
 
Nimekuja kugundua kwanini pamoja na kuwa Biblia inaonyesha mpaka Yesu anakuja kutakuwa kumeshatokea majanga mengi duniani, lakini hapo hapo inasema atakuja watu watakuwa wanakula na kunywa, kuoa na kuolewa, as if nothing is happening! !

Ni kwasababu kila sehemu ya dunia itakuwa na janga lake! Kiasi kwamba kama hauko macho / sensitive unapitwa na what is actually happening. Utashtukizwa!

Tena yatakuwa kama uchungu wa kuzaa, maana yake kuna muda wa uchungu mkali na muda wa kupumzika, na muda wa mapumziko unapungua kuelekea mwishoni hadi mtoto atoke.

Wakristo literally wanachinjwa kama kuku huko Nigeria na Sudan.

Kuna multiple wildfires going on in the world at the moment. Watu wanapoteza kila kitu!

(Tulikuwa tunaongelea kutunza chakula kwa ajili ya dhiki kuu, tukasema tumeona ndugu zetu Marekani huko mapastor kabisa wametoka ndani na kabegi ka nguo mgongoni, kila kitu kimechomwa. Kwahiyo tusihangaike na habari za kutunza chakula. Tutatunza magunia bahari ya hindi ifanye yake hata punje moja hatutookota. God will provide. Anayeweza atunze)
 
Matetemeko makubwa nchi tofauti at once (unakuta watu wanaanza ku debate sijui ni man made earthquakes so sio unabii! ! Unabii umesema kutakuwa na matetemeko mengi makubwa, haijasema nini kitaleta hayo matetemeko)

View attachment 3660010

Kwa kifupi kengele ndio hii AMKENI AMKENI BWANA WETU AMEKARIBIA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Happening in China

View: https://www.instagram.com/reel/DcvIm59NTSH/?igsi=MXFwend6dnFjdXVpcg==
 
Rekodi za vimbunga zinavunjwa hukoMarekani:

1000079938.jpg

Illinois imevunja rekodi ya Marekani kwa kuwa na ripoti 243 za awali za tornado mwaka 2026, na kuvuka rekodi ya Texas ya 229 iliyowekwa mwaka 2015.

Kinachoshangaza, Illinois si sehemu ya kawaida ya “Tornado Alley,” ambayo kihistoria inahusishwa zaidi na Texas, Oklahoma na Kansas.

Mwaka huu, mfumo wa dhoruba umehamia zaidi kaskazini, na kuifanya Illinois kuwa kitovu kikuu cha tornado nchini Marekani.
 
Rekodi za vimbunga zinavunjwa hukoMarekani:

View attachment 3661659

Illinois imevunja rekodi ya Marekani kwa kuwa na ripoti 243 za awali za tornado mwaka 2026, na kuvuka rekodi ya Texas ya 229 iliyowekwa mwaka 2015.

Kinachoshangaza, Illinois si sehemu ya kawaida ya “Tornado Alley,” ambayo kihistoria inahusishwa zaidi na Texas, Oklahoma na Kansas.

Mwaka huu, mfumo wa dhoruba umehamia zaidi kaskazini, na kuifanya Illinois kuwa kitovu kikuu cha tornado nchini Marekani.
Mahekalu yanaungua huko Japan:

View: https://www.instagram.com/reel/DcvQO2oxyPN/?igsi=emViaGFzNmNkNmMy

Japan imekumbwa na mfululizo wa moto katika maeneo yake ya kidini, huku hekalu la Naritasan Shokkoji huko Hokkaido likiteketea Juni 13, 2026 bila kusababisha majeruhi.

Tukio hilo limeongeza wasiwasi kwa sababu ni angalau mahekalu 10 kuchomwa moto nchini humo mwaka huu.

Mwezi Mei, hekalu la Daihoji lenye historia ya miaka 573 pia liliteketea pamoja na moto wa milele uliodaiwa kuwaka kwa zaidi ya miaka 1,200.

(Moto wa milele umezimika 🤣)

Wakati polisi wakiendelea kuchunguza chanzo cha moto, wananchi wanajiuliza kwa nini mahekalu mengi yanaendelea kuteketea!
 
Dhoruba, mvua za mawe, na mafuriko yanaendelea huko Canada.

View: https://www.instagram.com/reel/Dc2xWEjjWnW/?igsi=bHBmc2dvODJ6bzdp
 
Back
Top Bottom