Kama vitu gani mkuu!Yani sikutegemea kabisa jibu kama hili kiukweli na kwa jina la ID yako, daah nimesikitika mno nyie mnaojikuta ndiyo wakristo wasafi pepo ya kwenu mnafanya vitu vya kipumbavu sana kuliko hata Abbot wa monasteri. Ndiyo maana hata katika mafundisho ya Yesu alisema wazi yule anajiona amesimama na aangalie asianguke.
Huwezi kunielewa mkuu!Budha sio Shetani
Hahaa chizi asiyejua kuwa wewe ndiye punga humu nani !?Skendo yako ya ushoga bado tunayo tutaipandishia uzi muda sio mrefu.
Unabisha?Hahaa chizi asiyejua kuwa wewe ndiye punga humu nani !?
Kama unataka nikupake wese then nikupige machine kijanja wee sema tu don't spin around the bushUnabisha?
Kama huwezi kuthibitisha kwa uhakika kwamba imani ya mtu mwingine ni ya uongo, una msingi gani wa kuidhihaki badala ya kusema tu kwamba huikubali?Kama vitu gani mkuu
Unabisha?Kama unataka nikupake wese then nikupige machine kijanja wee sema tu don't spin around the bush
Na hii pia imetokea huko huko NepalHiyo ndo miujiza ya Budha sasa
Yah! ni mawazo yako mkuu,Kama huwezi kuthibitisha kwa uhakika kwamba imani ya mtu mwingine ni ya uongo, una msingi gani wa kuidhihaki badala ya kusema tu kwamba huikubali?
Happening in ChinaNimekuja kugundua kwanini pamoja na kuwa Biblia inaonyesha mpaka Yesu anakuja kutakuwa kumeshatokea majanga mengi duniani, lakini hapo hapo inasema atakuja watu watakuwa wanakula na kunywa, kuoa na kuolewa, as if nothing is happening! !
Ni kwasababu kila sehemu ya dunia itakuwa na janga lake! Kiasi kwamba kama hauko macho / sensitive unapitwa na what is actually happening. Utashtukizwa!
Tena yatakuwa kama uchungu wa kuzaa, maana yake kuna muda wa uchungu mkali na muda wa kupumzika, na muda wa mapumziko unapungua kuelekea mwishoni hadi mtoto atoke.
Wakristo literally wanachinjwa kama kuku huko Nigeria na Sudan.
Kuna multiple wildfires going on in the world at the moment. Watu wanapoteza kila kitu!
(Tulikuwa tunaongelea kutunza chakula kwa ajili ya dhiki kuu, tukasema tumeona ndugu zetu Marekani huko mapastor kabisa wametoka ndani na kabegi ka nguo mgongoni, kila kitu kimechomwa. Kwahiyo tusihangaike na habari za kutunza chakula. Tutatunza magunia bahari ya hindi ifanye yake hata punje moja hatutookota. God will provide. Anayeweza atunze)
Matetemeko makubwa nchi tofauti at once (unakuta watu wanaanza ku debate sijui ni man made earthquakes so sio unabii! ! Unabii umesema kutakuwa na matetemeko mengi makubwa, haijasema nini kitaleta hayo matetemeko)
View attachment 3660010
Kwa kifupi kengele ndio hii AMKENI AMKENI BWANA WETU AMEKARIBIA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ni tukio liliowashangaza wengi duniani Sanamu ya Budha kubaki imesimama imara wima katikati ya Mafuriko View attachment 3659816
Mahekalu yanaungua huko Japan:Rekodi za vimbunga zinavunjwa hukoMarekani:
View attachment 3661659
Illinois imevunja rekodi ya Marekani kwa kuwa na ripoti 243 za awali za tornado mwaka 2026, na kuvuka rekodi ya Texas ya 229 iliyowekwa mwaka 2015.
Kinachoshangaza, Illinois si sehemu ya kawaida ya “Tornado Alley,” ambayo kihistoria inahusishwa zaidi na Texas, Oklahoma na Kansas.
Mwaka huu, mfumo wa dhoruba umehamia zaidi kaskazini, na kuifanya Illinois kuwa kitovu kikuu cha tornado nchini Marekani.
Dhoruba, mvua za mawe, na mafuriko yanaendelea huko Canada.Mahekalu yanaungua huko Japan:
View: https://www.instagram.com/reel/DcvQO2oxyPN/?igsi=emViaGFzNmNkNmMy
Japan imekumbwa na mfululizo wa moto katika maeneo yake ya kidini, huku hekalu la Naritasan Shokkoji huko Hokkaido likiteketea Juni 13, 2026 bila kusababisha majeruhi.
Tukio hilo limeongeza wasiwasi kwa sababu ni angalau mahekalu 10 kuchomwa moto nchini humo mwaka huu.
Mwezi Mei, hekalu la Daihoji lenye historia ya miaka 573 pia liliteketea pamoja na moto wa milele uliodaiwa kuwaka kwa zaidi ya miaka 1,200.
(Moto wa milele umezimika 🤣)
Wakati polisi wakiendelea kuchunguza chanzo cha moto, wananchi wanajiuliza kwa nini mahekalu mengi yanaendelea kuteketea!
Mwe Mwe MwehWaislamu hawajawahi kutumia akili