Miujiza ya mafanikio ya Kiuchumi ya China yaliyowezeshwa na chama cha CPC

Miujiza ya mafanikio ya Kiuchumi ya China yaliyowezeshwa na chama cha CPC

Hahahahah ukimaliza kula msambwanda mda wa marejesho unakula shaba😅 kama huna hela
Yaani fastafasta ushakula shaba. 😂

Yaani yule mzee Deng alikuwa kama kichaa. Maana alisema hela zikikaa benki hazina kazi. Inabidi watu wakopeshwe. Sasa watu wa benki wakasema watu hawakopesheki maana ni watu hawana hati. Deng akasema si wana roho? Asipolipa tutamuua tu! Watu wa benki waliogoma kukopesha watu na wenyewe walijipatia shaba fasta. Na walioshindwa marejesho wanapata shaba, ukitumia mkopo kwa starehe unajipatia shaba. Yaani yule mzee mambo ya upuuzi alikuwa habembelezi ni shaba tu. Ila ndio ametajirisha china mpaka leo. Yaani yeye ni shaba tu hakuna kubembelezana.
 
Yaani fastafasta ushakula shaba. 😂

Yaani yule mzee Deng alikuwa kama kichaa. Maana alisema hela zikikaa benki hazina kazi. Inabidi watu wakopeshwe. Sasa watu wa benki wakasema watu hawakopesheki maana ni watu hawana hati. Deng akasema si wana roho? Asipolipa tutamuua tu! Watu wa benki waliogoma kukopesha watu na wenyewe walijipatia shaba fasta. Na walioshindwa marejesho wanapata shaba, ukitumia mkopo kwa starehe unajipatia shaba. Yaani yule mzee mambo ya upuuzi alikuwa habembelezi ni shaba tu. Ila ndio ametajirisha china mpaka leo. Yaani yeye ni shaba tu hakuna kubembelezana.
Hahahahha hivi huyu mzee bado yupo China tumuombe aje kwa Sub contract hapa nchini? Maana alikuwa umeme huyo ukigusa vibaya unakula shoti!
 
Hahahahha hivi huyu mzew bado yupo China tumuombe aje kwa Sub contract hapa nchini?
Kashakufa ila nyaraka zake zinatumika na marais wote wa china. Hata huyu wa sasa hivi Xi anajifanya kama anapinga mawazo ya Deng ila kiufupi anayatekeleza yote. Shida ni nyaraka za Deng zimefichwa ila ndio ukweli wa jinsi china ilivyotajirika. Hawa wachina unaowaona na makampuni yote haya ni ya serikali na nyingine ni za majimbo. Kama mfanyakazi akifanya madudu bongo akienda kwao ni shaba tu. Ujifanya mjanja wanakuteka ili upate adabu, hata Jack Ma juzi kati hapa alitekwa ili apate adabu. Yaani wachina bado wanafata mfumo wa Deng.
 
Hivi kuna evidence yoyote inayoonesha kwamba ni kweli mwaka huo tajwa china na TZ tulikua tunalingana kiuchumi? Kama hakuna evidence basi hiyo ni propaganda
Tuna silaha zimo majeshini tulipewa misaada na china miaka hiyo,wakatujengea na reli.anakuja mtu anasema tulikuwa sawa[emoji16][emoji16].
 
[emoji23]
Ila huyo mzee Deng na uongozi wake ndio umefanya China iwe hivyo, wanamuita The General Architect. Ndie aliyekuja na wazo la Special Economic Zones, Duty free zones, Muanzilishi wa Mabenki Makubwa China, Pia wachina wengi walipewa mikopo na mabenki kwa Dhamana ya CPC na roho yako. Yaani ukila hasara wanakuua. Hiki ndio chanzo cha utajiri wa ma tech giants wa china kama Jack Ma, Huawei, Xiaomi. Masuala ya kupiga hela ya ukandarasi. Kuvutia wawekezaji kwa kufuta kodi china. Huyu mzee ndie alilazimisha wachina wawe wanakopi utengenezaji wa vitu. Yaani huyu mzee ni Balaa. Mpaka wachina huwa wanaficha historia yake na vitabu vyake vya mipango ya uchumi vinafichwa na kulindwa ili watu wengine wasigeze. Huyu Deng alikuwa balaa na nusu.
Wakija akina magufuli hapa tz,zinaibuka nguruwe na kudai hela zimekauka mtaani.
 
Adhabu ya ufisadi china ni kunyongwa mpaka kifo...swali la msingi ccm wapo tayari kuweka kipengele hicho kwenye katiba yetu ukizingatia wao ni chama cha mafisadi.
 
Wabongo tumezoea janja janja na shortcut za maisha! Wengi wamejikita kwenye rushwa na ufisadi tu maisha yaende..,Ukimtengenezea ugumu hapo tayari wewe ni adui namba moja😅 tegemea kutukanwa matusi yote!

Uchumi wa china umejengwa na uwajibikaji wa raia wote kwa usawa! Bila kulalamika japo iliwaumiza ila ndio ilikuwa namna pekee ya kufika walipo sasa na imewajengea spirit ya uwajibikaji vizazi kwa vizazi. Kiongozi mzembe anakula shaba tu. Raia mzembe kitanzi kinamuhusu hamna mambo ya kijinga!
Sisi kuwekewa tozo tu, kelele kibao yani tunataka maendeleo yatoke mbinguni au ulaya watujengee, ajabu sana.
Islael wanamsemo wao kuwa wamejenga nchi yao kwa jasho na damu, ukichunguza ni kweli hawana maziwa kama sisi hawana mito kama sisi, hawana mvua kama sisi,hawana madini kama sisi,idadi ya watu sio kubwa kama sisi, hawana ardhi yenye rutuba kama sisi lakini wametuzidi kila kitu cha maendeleo ya kisasa,hovyo kabisa.
Tunafeli sana sana.
 
Sisi kuwekewa tozo tu, kelele kibao yani tunataka maendeleo yatoke mbinguni au ulaya watujengee, ajabu sana.
Islael wanamsemo wao kuwa wamejenga nchi yao kwa jasho na damu, ukichunguza ni kweli hawana maziwa kama sisi hawana mito kama sisi, hawana mvua kama sisi,hawana madini kama sisi,idadi ya watu sio kubwa kama sisi, hawana ardhi yenye rutuba kama sisi lakini wametuzidi kila kitu cha maendeleo ya kisasa,hovyo kabisa.
Tunafeli sana sana.
Ishu ni viwango vya tozo bosi
 
Ishu ni viwango vya tozo bosi
Leo nimetuma sh. 500000 nimekatwa sh. 12800 hii ina maana kila 100000 sh. 2500. Hii ni sawa ba 0.025% ta 100000. Sidhani kama ni kubwa ila tunapenda kulalamika.
Watanzania tufanye kazi tukuze kipato tujenge nchi.
Unakumbuka ishu ya bandari ya bagamoyo ?
Watu walilalamika kuwa ule mkataba ni mbaya, sasa watu wanakuja na njia nzuri za kujenga nchi bado zinakataliwa.
Kukopa kwa wachina "unauza nchi" kujichanga napo "hali yetu mbaya".
Mkuu tusipotumua maarifa hatuendelei ng'o , tutabaki kupiga domo.
Wenzeti wanatoa mpaka uhai wao ili nchi zao ziendelee sisi hatutaki kuumia tunataka mteremko.
 
Tarehe mosi Julai 2021, Chama cha Kikomunisti Cha China CPC kiliadhimisha miaka 100 tangu kianzishwe.

Katika hafla kubwa ya kuadhimisha karne moja, Rais wa China Xi Jinping ambaye pia ni Katibu wa Kamati Kuu ya CPC alitangaza kuwa China imetimiza lengo la kwanza la karne la kujenga jamii yenye ustawi wa wastani katika pande zote.

Kupitia kwa uongozi mahiri wa CPC, ndani ya miaka hiyo mia moja China sasa imekuwa nchi yenye uchumi wa pili kwa ukubwa duniani, mpokeaji mkubwa wa uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni, na moja ya soko kubwa zaidi la watumiaji duniani.

Aidha takwimu zinaonesha kuwa Pato lake la taifa yaani GDP limezidi yuan trilioni 100- (sawa na dola za kimarekani trilioni 15.47).

Kwa watu waliozaliwa katika miaka ya 60 na wale waliozaliwa kwenye miaka ya 90 nchini China, wote wana hadithi tofauti kuhusu mabadiliko ya kiuchumi na kijamii.


Waliozaliwa katika miaka ya 60 walishuhudia hali ngumu ya maisha na udhaifu wa Uchumi wa China, lakini ndani ya kizazi kimoja tu, yaani tangu kuanza kutekelezwa kwa sera ya mageuzi ya kiuchumi na kufungua milango mwaka 1978, China imebadilika na kuwa nchi yenye nguvu, na imefanikiwa kushughulikia changamoto kubwa, pamoja na kukidhi mahitaji ya kimsingi ya idadi kubwa ya watu wake.

Kwa mujibu wa takwimu za benki ya dunia, mwaka 1960 China ilikuwa maskini kuliko baadhi ya nchi barani Afrika. Kwa mfano mwaka 1960, mgao wa pato la kitaifa kwa China ulikuwa dola 89 tu, wakati DR. Congo ulikuwa dola 220, Kenya dola 97, Afrika Kusini 433 na Ghana 183. Lakini ilipofika mwaka 2017 mgao huo kwa China ulikuwa umefikia dola 8,827, huku Kenya ikiwa na dola 1,507, Ghana 1,641, Afrika Kusini 1,615.

Abbas Zaki, mwanachama wa kamati kuu ya chama cha Palestina cha Fatah anayesimamia uhusiano na China na nchi za Kiarabu, ametembelea China kwa zaidi ya mara 10 tangu safari ya kwanza mnamo 1974, alibaini kuwa katika kizazi kimoja tu, China imefanikiwa kuwaondoa watu wote kutoka kwa umaskini uliokithiri.

Anasema vijiji vilivyokuwa maskini vimebadilishwa na kuwa na tija, na maeneo mengi ambayo yalikuwa nyuma kimaendeleo sasa yamefurika viwanda.

Naye katibu mkuu wa Jumuiya ya muungano wa Urafiki wa Wabunge wa China na Japan yaani Sino-Japan Shoichi Kondo, anasema alienda kusomea China mwaka 1981 na sasa miaka 40 baadaye anaona China imekua kwa kasi ya kushangaza na kufanya miujiza chini ya uongozi wa Chama cha Kikomunisti cha China.


Muujiza wa Kiuchumi umefanikishwa na mipango kababe ya miaka mitano

Mpango wa maendeleo wa miaka mitano ni moja ya sababu kuu ya kufanikisha muujiza wa ukuaji wa kiuchumi wa China. Mkurugenzi wa Kituo cha Mafunzo ya Afrika na China katika Chuo Kikuu cha Johannesburg, David Monyae anautaja mfumo huo kuwa wa kuaminika katika kuzingatia na kutabiri jinsi uchumi unavyokua na ni marekebisho gani muhimu ambayo yanahitajika kufanywa.

Tangu kuanzishwa kwake katika miaka ya 1950, kumekuwa na mipango 14 ya miaka mitano (FYP) – na kila moja inaashiria mabadiliko makubwa katika sera za uchumi za China na maendeleo ya kijamii na kiuchumi.

Siku hizi mfumo huo wa China umekuwa sera inayofuatiliwa kwa karibu ulimwenguni kote kwani inatoa mwangaza wa sera za uchumi na malengo ya maendeleo ya China.

Mwaka huu, FYP ya 14 inayoishia 2025 imewekwa kwa kuzingatia kufikia malengo ya miaka mingine 100 ijayo ikiwemo kujenga nguvu ya kisasa ya ujamaa ifikapo 2049 wakati Jamhuri ya watu wa China itakapotimiza miaka 100.

Sera ya Ufunguzi
Nguzo nyingine muhimu kwenye uongozi wa CPC katika kufanikisha malengo yake ya kiuchumi ni kutekeleza sera za ufunguzi.
Mkutano wa tatu muhimu wa Kamati Kuu ya 11 ya CPC mnamo Desemba 1978 ulikuwa mwanzo wa safari ya kiuchumi ya China ya miaka 40 na zaidi ya mabadiliko na ufunguzi, na pia ulikuwa ni mwanzo mpya wa kazi za Chama ambazo ni ujenzi wa uchumi.

Sera ya kufungua milango kimsingi inamaanisha kukaribisha wawezekaji wa kigeni nchini China na ilitangazwa na kiongozi wa CPC wa wakati huo Deng Xiaoping. Matunda yake yameonekana ndani ya miaka 40 iliopita na mwaka 2020 China iliipiku Marekani na kuwa nchi inayovutia zaidi uwekezaji wa wa moja kwa moja wa kigeni.
CPC ndio kila kitu kwa China bila CPC hakuna China bora.
 
Back
Top Bottom