Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Umetafuta mabaya ya mwanza yote ukaona ni uwanja wa ccm kirumba na uwanja wa ndege wa mwanza, sasa na kuuliza uwanja w sheikh amri abeid na ccm kirumba upi ni bora? Pia kati ya airport ya Mwanza na ya arusha ipi ni bora kuliko nyingine? Wivu hautakufikisha popote.Hivi jamani hiyo Mwanza inavyosifiwa ni kweli maana nimefika mwanza Airport duu nikaenda stendi ndio usiseme, ccm kirumba nikajua pengine nimepotea njia ila all in all watu huwa wanasifia vitu kulingana na mapenzi tuu. Kipindi cha magufuli aliparekebjsha sana. Wekeni hata sanamu ya kumbukumbu
Kama unabisha tupia mapicha tufanye comparison kwa kila kitu🤣🤣🤣