Miundombinu ya Arusha na Moshi inaleta aibu katika soko zima la utalii na uwekezaji

Umetafuta mabaya ya mwanza yote ukaona ni uwanja wa ccm kirumba na uwanja wa ndege wa mwanza, sasa na kuuliza uwanja w sheikh amri abeid na ccm kirumba upi ni bora? Pia kati ya airport ya Mwanza na ya arusha ipi ni bora kuliko nyingine? Wivu hautakufikisha popote.
Kama unabisha tupia mapicha tufanye comparison kwa kila kitu🤣🤣🤣
 
Arusha hakuna mahotel? Itakuwa ajabu kama unaiona Arusha hapa Tanzania kama mji usiokuwa na mahotel. Utakuwa hujawahi kufika Arusha.
Anajua vile vibanda vya mama ntilie ndio mahotel, alitaka akute vimejazana stand Arusha.
Sasa kama Arusha hakuna mahoteli ni wapi yatakuwepo Tanzania hii?
 
View attachment 2298179Usilie huu ndo uchafu wa Moshi!

futa kauli yako ya stand kali maana hata tukizitaja 15 bora ya moshi haipo
Yaani umepiga picha gari moja ukiwa hapo Moshi kidimbwi bar unataka kutuaminisha ndio stand ya Moshi iko hivyo?
hii imepigwa tokea juu yako hapa sports bar.
hii hapa ni kutokea hapo ulipopigia ya kwako.
hii hapa ni stand ya taxi kwenye uchafu wa Moshi.

Uchafu wa Moshi.
Haya na wewe tuoneshe usafi wa Mpanda.
 
Picha ingependeza zaidi
 
Sio wote wanaotumia zile cruiser za kitalii, wengine hupanda Costa na mabasi kwa trips za Arusha to moshi, lushoto, na wengine huoendelea pia kutembelea masoko ya ndani pamoja na kununua vitu humo
Waambie hivi: Ni wengi wangependa kupanda magari ya kawaida ili waweze ku-experince local life and culture lakini wanashindwa kwa sababu ya haya uliyoelezea. Ukiwa miji ya Ulaya, watalii wengi kabisa wanatumia usafiri wa umma. Pengine sisi tunadhani utalii ni kutembelea mbuga za wanyama tu ndiyo maana hatujishughulishi na vivutio vingine.
 
Hakuna mtalii anayesafiri kwa costa wala. Hata kulala lodge za kawaida tu hairuhusiwi. Pia siyo kila mzungu ni mtalii, wengine wako kazini
Nadhani wewe unabisha kitu ambacho huna upeo nacho. Watalii wanakwepa usafiri wa umma kwa sababu alizozisema mwanzisha thread. Kama hujawahi kwenda majuu basi siku utakayoenda utakubaliana na ninachosema.
 
Sio wote wanaotumia zile cruiser za kitalii, wengine hupanda Costa na mabasi kwa trips za Arusha to moshi, lushoto, na wengine huoendelea pia kutembelea masoko ya ndani pamoja na kununua vitu humo
Huyo amekariri utalii wa mbugani tu.
 
Kwenye mahoteli, majengo mazuri, miundo mbinu ya barabara na Mandhari Arusha wako vizuri zaidi kuliko Mwanza, lakini kwenye stand ya mabasi Arusha ni sifuri.

Sio mwanza tu, mpaka dubai. Au sio!

Sasa hapa unasifia ama unaponda? Funguka ueleweke

Unaongela Moshi ipi? Ukiachilia mbali stand ya Magufuli kuna mji wenye stand nzuri kuliko ya Moshi?
NB: unajua kuwa watalii hutumia magari ya kampuni za utalii na siyo usafiri wa umma?
Hivi umeiona stand mpya inajengwa? Huenda ikawa ya kwanza ama ya pili kwa ubora nchini. Kuna mdau mmoja hapo ameambatanisha stand ya geita na moshi, zinatofauti gani!! Tembeeni muone miji, na sio kukaa moshi tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…