KERO Responded Miundombinu ya Vyoo vya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ni mibovu na uongozi wa chuo upo kimya tu

KERO Responded Miundombinu ya Vyoo vya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ni mibovu na uongozi wa chuo upo kimya tu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

immortanity

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2024
Posts
859
Reaction score
1,591
Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma tunaomba mfanyie kazi swala la miundombinu ya vyoo .

Matundu ya vyoo (sinks) zimeziba ukiingia chooni unachokutana nacho unaweza kutapika hii sio sawa kabsa .
Vyoo takriban floor zote vimeziba vichache tu ndio vinafanyakazi na idadi ya wanafunzi ni wengi .

Mbaya zaidi vyoo na vyumba vya makazi vipo mkabala na vina harufu balaa
matumbo tu kuuma na kujaa gesi.

kama uongozi wa chuo ni vyema mkafanya wa kuzibua vyoo na marekebisho mengine kama sink za kunawia .

NB. Hii ni kwa ndaki ya ualimu ( College of education ) hali ni mbaya tukisema tuweke picha mtasema tunazua taharuki.

Ufafanuzi wa Chuo ~ Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimechapisha video inayoonesha vyoo vya majengo yao ni visafi
 
Back
Top Bottom