Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Baadhi wanaona kwamba dhima na malengo ya maandamano hayo ni kinyume na katiba ya nchi, lakini ni kunajisi katiba yao na misingi ya chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema, kwasababu Chadema haijaundwa kuwaondoa viongozi walioko madarakani kidemokrasia..
Hata namna maandamano hayo yalivyotangazwa yanaleta picha na sura ya kuvuruga Demokrasia na Maendeleo lakini pia ni kuhatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi kulikochochewa na mihemko na ghadhabu bila kutathmini kwa kina athari zitakazojitokeza au madhara ya maandamano hayo kwa Taifa..
Ndugu zangu,
Duniani hakuna nchi inaweza kuruhusu mambo kama hayo hata kama chama kinachopanga kumg'oa Rais madarakani ni kidogo, dhaifu au hakina nguvu namna gani, huo ni uhaini na ni ukiukwaji wa demokrasia usiokubalika na sio ustaarabu katika demokrasia inayoshamiri vizuri kama ya Tanzania.
Alisikika kiongozi moja wa Chadema aliedinda kuweka wazi jina lake, huku akiapa yeye hawezi kushiriki na kanda yake hawataruhusu vijana wao wakaumizwe bila sababu za msingi...
Hata hivyo,
Kwa upande mwingine, viongozi wenye kiburi, wakaidi na jeuri ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti wa baraza la vijana chadema wamedinda katazo na marufuku ya jeshi la polisi la polisi Tanzania na kusisitiza kwamba pamoja na vijana wengine watashiriki maandamano hayo haramu...
Tangu kuanza kwa uchaguzi wao wa ndani, Chadema imegawanyika pakubwa na kuna uhasama mkubwa sana ndani ya uongozi, tangu kuanzia kuanza kwa uchaguzi huo wa ndani ambao bado haujaisha,
Hawana utulivu wa ndani ya chama kabisaa, hawaelewani , hawaaminiani na sasa tena chadema inagawanyika kwasabb ya maandamano ambayo wengine wanadai ni haramu na wengine wanasema ni haramu. Ni mgawanyiko mkubwa sana na unahatarisha umoja wa Chadema...
JE,
Kwa tathmini yako fupi,
Unadhani ni zipi hasara na athari za mgawanyiko huu wa ndani ya chadema kuelekea maandamano yaliyopigwa marufuku na Jeshi la polisi nchini na kwa mujibu wa jeshi la polisi kwamba ni hara?🐒
Mungu ibariki Tanzania