Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Natuma salam kwa wale watu wanaopenda kujua wenzao wanafanya kazi wapi.Hongera Sana haya tuma salamu kwa watu watatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natuma salam kwa wale watu wanaopenda kujua wenzao wanafanya kazi wapi.Hongera Sana haya tuma salamu kwa watu watatu
Labda wanajuana privatelyNatuma salam kwa wale watu wanaopenda kujua wenzao wanafanya kazi wapi.
Primary level means ni very essential, periodShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti ndugu zangu watanzania;
Upi ni wakati sahihi wa kumsomesha mtoto katika Private School kwa mzazi wa kipato cha chini? Primary Level au Secondary Level?
Ninapoongelea mzazi wa kipato cha chini kwenye muktadha huu nina maana kwamba ni yule ambaye anatamani mtoto wake asome katika Private School ila hawezi kumudu gharama za kuanzia darasa la kwanza mpaka form six. Yeye anaweza kumudu Level moja tu baaas.
Kama mtoto atasoma primary level katika Private School basi secondary level atasomea katika shule ya Serikali na vice versa.
Kuna jirani yangu nipo nae hapa anadai ni bora mtoto aanzie elimu ya msingi katika Private School ili apate msingi bora wa lugha ya kiingereza hata akienda secondary anaelewa masomo kwa ufasaha.
Classmate wangu Beautiful Nkosazana yeye alikuwa anadai eti ni bora mtoto akaanza Primary Level katika shule ya serikali ili akienda Secoary katika Private School anakuwa tayari amekomaa vema kiakili na anaweza kujimudi.
HII IMEKAA VP NDUGU ZANGU?
WEWE UNANISHAURIJE KAKA/DADA YANGU?
OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sawa mkuuPrimary level means ni very essential, period
Mhh kutuma salaam tena mkuu?Hongera Sana haya tuma salamu kwa watu watatu
Poa poa kijana wanguShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti ndugu zangu watanzania;
Upi ni wakati sahihi wa kumsomesha mtoto katika Private School kwa mzazi wa kipato cha chini? Primary Level au Secondary Level?
Ninapoongelea mzazi wa kipato cha chini kwenye muktadha huu nina maana kwamba ni yule ambaye anatamani mtoto wake asome katika Private School ila hawezi kumudu gharama za kuanzia darasa la kwanza mpaka form six. Yeye anaweza kumudu Level moja tu baaas.
Kama mtoto atasoma primary level katika Private School basi secondary level atasomea katika shule ya Serikali na vice versa.
Kuna jirani yangu nipo nae hapa anadai ni bora mtoto aanzie elimu ya msingi katika Private School ili apate msingi bora wa lugha ya kiingereza hata akienda secondary anaelewa masomo kwa ufasaha.
Classmate wangu Beautiful Nkosazana yeye alikuwa anadai eti ni bora mtoto akaanza Primary Level katika shule ya serikali ili akienda Secoary katika Private School anakuwa tayari amekomaa vema kiakili na anaweza kujimudi.
HII IMEKAA VP NDUGU ZANGU?
WEWE UNANISHAURIJE KAKA/DADA YANGU?
OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Okay mkuuMi ni mwalimu wa sec!
sawaNakushauri uangalie uwezo wa mtoto!!
Sio lazima tufananeHahaaaa mwalimu anakopa na kuacha kadi yake ya NMB kibanda cha kukopesha hela ili mwanae akasome Tusiime.
Classmate wangu Beautiful Nkosazana yeye alikuwa anadai eti ni bora mtoto akaanza Primary Level katika shule ya serikali ili akienda Secondary katika Private School anakuwa tayari amekomaa vema kiakili na anaweza kujimudu.
Hii ni point nzuri sanaYote kwa yote kwa msiokua na watoto msihangaike kuzaa hovyo maana maisha ni magumu na kulea mtoto na kumtimizia ndoto ni gharama sana.
Ndoto mtoto anaipigania mwenyewe!we toa Basic needs tu!!Hayo ma private ma english media ni kujipatia msongo wa mawazo tu!!!!TULIZALIWA ILI TUTAWALE NATURE NA SIO KUFUNGIWA NDANI KAMA KUKU WA KISASA!!KWANGU MIMI KIJANA ALIEPATA DIV 3 KATA NI BORA KULIKO DIV 1 PRIVATE!KWA EXPOSURE NA EXPERIENCE YA MAISHA NA KU STRUGGLE IN LIFE!!!Hii ni point nzuri sana
umeandika ki-komandooNdoto mtoto anaipigania mwenyewe!we toa Basic needs tu!!Hayo ma private ma english media ni kujipatia msongo wa mawazo tu!!!!TULIZALIWA ILI TUTAWALE NATURE NA SIO KUFUNGIWA NDANI KAMA KUKU WA KISASA!!KWANGU MIMI KIJANA ALIEPATA DIV 3 KATA NI BORA KULIKO DIV 1 PRIVATE!KWA EXPOSURE NA EXPERIENCE YA MAISHA NA KU STRUGGLE IN LIFE!!!
Nimekuelewa mkuu@Kiuhalisia shule za O level za serikali sio nzuri,