Mixed Education System: Upi ni wakati sahihi wa kumsomesha mtoto katika Private School kwa mzazi wa kipato cha chini?

Mixed Education System: Upi ni wakati sahihi wa kumsomesha mtoto katika Private School kwa mzazi wa kipato cha chini?

Msingi iwe shule ya binafsi, sekondari itategemea shule ya kata ina ubora gani, kama si nzuri mpeleke ya binafsi. Kidato cha tano na sita iwe ya serikali hadi chuoni.
 
Ili kulifanya jengo liwe madhubuti lisilokua na ufa ufa inatakiwa msingi wake uwe imara.
 
Mkianza form 1 kuna utofauti kati ya alietoka Mary Mary na Kayumba but mkiingia form 5 na chuo hakuna tofauti kati ya alietoka private na government. So primary ndiyo kila kitu
Ila nawaheshimu saana waliopita government from primary mpaka chuo
NB : wote watakutana DUCE kwenye interview za utumishi
 
Mi ni mwalimu wa sec!Nakushauri uangalie uwezo wa mtoto!!kama Bogus peleka private hizo ndio shule za mabogus!kama ana uwezo peleka government schools kuanzia msingi hadi chuo!ukimfuatilia kwa kina na tuition hapa na pale!!mwambie kwanini unamsomesha!!NI VIZURI MTOTO KUPATA MALEZI YA NYUMBANI ANGALAU MSINGI HADI SECONDARI AKAWEZA KUJITEGEMEA KIMATENDO KULIKO KUMPELEKA PRIVATE AKAWE KUKU WA KISASA ASIEJUA KUPIGA HATA NDEGE KWA MANATI AU KUPEPETA MAHINDI!PRIVATE ZINAANDAA MAROBOTI NA SIO WATU!!!MIMI FULL GOVERNMENT FROM PRIMARY TO UDSM!!
Sawa mwalimu, shkamoo mwalimu
 
Nikikumbuka secondary tulivyokua tunaburuzwa na jamaa waliosoma english medium sina hamu
 
Back
Top Bottom