Mixed Education System: Upi ni wakati sahihi wa kumsomesha mtoto katika Private School kwa mzazi wa kipato cha chini?

Msingi iwe shule ya binafsi, sekondari itategemea shule ya kata ina ubora gani, kama si nzuri mpeleke ya binafsi. Kidato cha tano na sita iwe ya serikali hadi chuoni.
 
Ili kulifanya jengo liwe madhubuti lisilokua na ufa ufa inatakiwa msingi wake uwe imara.
 
Mwanao bora aishie form 4 hlf aingie mtaani, kusoma sana siku hizi ni hasara, unapoteza mda na pesa hlf ajira hamna.. Infantry Soldier
 
Mkianza form 1 kuna utofauti kati ya alietoka Mary Mary na Kayumba but mkiingia form 5 na chuo hakuna tofauti kati ya alietoka private na government. So primary ndiyo kila kitu
Ila nawaheshimu saana waliopita government from primary mpaka chuo
NB : wote watakutana DUCE kwenye interview za utumishi
 
Sawa mwalimu, shkamoo mwalimu
 
Nikikumbuka secondary tulivyokua tunaburuzwa na jamaa waliosoma english medium sina hamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…