Mixer Za Konyagi

21897713, member: 285395"]Good 4 u aseee.....m nlkaaga mwez badae nkashndwa...ad leo hua najtaid sana bt holla.....an most of frnds zng n mulemule....[/QUOTE]


hahahaha tafuta starehe nyingine! yaan kuwa na uchungu na hyo hela unayoitumia kwa pombe! miwe siku nikiamua kulanduka hua najilanduikia tu,ila sipelekeshwi na kiu! kubali kbs moyon kuwa unataka kuacha
 
Nikichanganya na biaa hasa safari kuchwa kinauma balaaa,..nalewa mapema,
 
hahahahah huna lolote yaan ww ht wine hugusi kwa mwandiko wako huo unaonesha tu saint
[emoji15] [emoji15] ntake radhiii Mrs flan unanikosea[emoji17] [emoji17] daaah kwahiyo mm wa fanta kipapipapi???[emoji21]
 
[emoji15] [emoji15] ntake radhiii Mrs flan unanikosea[emoji17] [emoji17] daaah kwahiyo mm wa fanta kipapipapi???[emoji21]


🙂 teh naomba radhi mnywaj mwnzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…