Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
HATA MBUYU ULIANZA KAMA MHICHA ACHA BHANAAHapana Ndugu Ila Huko Kwa Ivan Umefika Mbali Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HATA MBUYU ULIANZA KAMA MHICHA ACHA BHANAAHapana Ndugu Ila Huko Kwa Ivan Umefika Mbali Sana
Vinywaji Vya Aina Ya Energy Sio Vzr Kumix Na Pombe KaliAliye kidume ajaribu ku mix na REDI BULL lazima FM ikate haraka hata kama wewe ni "mkongwe" wa kilaji
Doh,unakosaje uhondooo[emoji482] [emoji482]hahahaha mie naishiaga wine baaasi! zingine suiwez
Doh,unakosaje uhondooo[emoji482] [emoji482]
Nikichanganya na biaa hasa safari kuchwa kinauma balaaa,..nalewa mapema,Konyagi unaikosea sana kuimix na vitu vya kijinga,- vi tonic, 7up, bitter lemon ma maji au hata coca. Konyagi raha yake ipige kavu kavu mazee. Kama vipi tengeneza cocktail yako mwenyewe - changanya na dompo, Amarula, au bia ya aina yeyote ile. hahaaaa. Ni raha iliyoje chalii yangu?
Kumbe nawew mlevi eeBalaa mkuu na nyama choma pembeni...
ukitaka kuchojoa niite ili nikulinde wahuni wasikupige mtungoteh teh teh kwa kichwa changu hiki ntachojoa nguo walah pyeeee sifikirii
ukitaka kuchojoa niite ili nikulinde wahuni wasikupige mtungo
[emoji15] [emoji15] ntake radhiii Mrs flan unanikosea[emoji17] [emoji17] daaah kwahiyo mm wa fanta kipapipapi???[emoji21]hahahahah huna lolote yaan ww ht wine hugusi kwa mwandiko wako huo unaonesha tu saint
Mimi ni mnywaji sio mlevi, asanteKumbe nawew mlevi ee
[emoji15] [emoji15] ntake radhiii Mrs flan unanikosea[emoji17] [emoji17] daaah kwahiyo mm wa fanta kipapipapi???[emoji21]
Mkuu Heshima KwakoMm huwa napiga kitu cha muwa(k vant)mix tonic water, halafu ukute nna show mahali mbona..
Adam hakudanganywa, mwanamke hana kipaji cha kumdanganya mwanaume, sema wanaume wakishapenda hujitoa kafara kwa wapenzi wao. Adam alijua nini kitamtokea ila hakuwa tayari kimtokee Eva pekeyake.adam ! kwa kukubali kudanganywa kizembe