Mixx by Yas jina la kihuni sana badala ya Tigo Pesa

Mixx by Yas jina la kihuni sana badala ya Tigo Pesa

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Sijui hawa watu wa YAs walifikiria nini.

Maana asilimia kubwa ya wateja hapa nchini wanatumia kiswahili.

Hilo neno Mixx by Yas ni la kiingereza kwa asilimia zote.

Sasa sijui walikuwa wanamlenga nani ila kama sisi wateja tunatumia kiswahili hicho kingereza ni kwa ajili ya nani?

Halafuu, hayo matumizi ya maneno Mixx tulizoea ni lugha za watoto wa sekondari.

Sasa sisi watu wazima mnatukosea heshima maana hiyo sio lugha yetu.

Nawaomba wamiliki mfikirie kubadili hiyo Mixx by Yas maana mtawapa tabu bibi zetu huko vijijini na pia sio kila mtu ni mhuni na anafurahia lugha za kihuni.

Asante.
 
Sijui hawa watu wa YAs walifikiria nini.

Maana asilimia kubwa ya wateja hapa nchini wanatumia kiswahili.

Hilo neno Mixx by Yas ni la kiingereza kwa asilimia zote.

Sasa sijui walikuwa wanamlenga nani ila kama sisi wateja tunatumia kiswahili hicho kingereza ni kwa ajili ya nani??

Halafuu, hayo matumizi ya maneno Mixx tulizoea ni lugha za watoto wa sekondari.

Sasa sisi watu wazima mnatukosea heshima maana hiyo sio lugha yetu.

Nawaomba wamiliki mfikirie kubadili hiyo Mixx by Yas maana mtawapa tabu bibi zetu Huko vijijini na pia sio kila mtu ni mhuni na anafurahia lugha za kihuni.

Asante.
Ila mkurugenzi wa tigo kawaza hili aki a wapi😃😃uyu muhuni mmoja kapotosha wateja wote sasa haueleweki
 
dhambi mbaya sana, yaani ukitaka kudhurumu jambo lolote akili yako inakuwa haiko sawa unakuwa unafanya mambo kama mtu ambaye hakwenda shule..ndicho wanakifanya sasa hivi hao mabwana. Nahisi kuna kodi inakwepwa hapo....hii si kawaida kabisa!!!..wasituzugishe. Wanakwepa jambo hao
 
Sijui hawa watu wa YAs walifikiria nini. Maana asilimia kubwa ya wateja hapa nchini wanatumia kiswahili. Hilo neno Mixx by Yas ni la kiingereza kwa asilimia zote. Sasa sijui walikuwa wanamlenga nani ila kama sisi wateja tunatumia kiswahili hicho kingereza ni kwa ajili ya nani?? Halafuu, hayo matumizi ya maneno Mixx tulizoea ni lugha za watoto wa sekondari. Sasa sisi watu wazima mnatukosea heshima maana hiyo sio lugha yetu. Nawaomba wamiliki mfikirie kubadili hiyo Mixx by Yas maana mtawapa tabu bibi zetu Huko vijijini na pia sio kila mtu ni mhuni na anafurahia lugha za kihuni. Asante.
Ukigoogle Yas unakutana na utatanishi sana, ukicheki maana ya mixx kwenye urban dictionary unakutana na utata
 
Hivi kuna mtu mzima mwenye akili zake timamu anaweza kumiliki sim card ya huo mtandao?
Jina lililopita na lenyewe lilikuwa limejaa utata mtupu 😀
Kumiliki line ya huo mtandao ni zaidi ya uwendawazimu
 
Sijui hawa watu wa YAs walifikiria nini.

Maana asilimia kubwa ya wateja hapa nchini wanatumia kiswahili.

Hilo neno Mixx by Yas ni la kiingereza kwa asilimia zote.

Sasa sijui walikuwa wanamlenga nani ila kama sisi wateja tunatumia kiswahili hicho kingereza ni kwa ajili ya nani??

Halafuu, hayo matumizi ya maneno Mixx tulizoea ni lugha za watoto wa sekondari.

Sasa sisi watu wazima mnatukosea heshima maana hiyo sio lugha yetu.

Nawaomba wamiliki mfikirie kubadili hiyo Mixx by Yas maana mtawapa tabu bibi zetu Huko vijijini na pia sio kila mtu ni mhuni na anafurahia lugha za kihuni.

Asante.
Mixx by Nyashi
Bora nilihama, dharau hizi!
 
Back
Top Bottom