Mixx by Yas jina la kihuni sana badala ya Tigo Pesa

Sijui hawa watu wa YAs walifikiria nini.

Maana asilimia kubwa ya wateja hapa nchini wanatumia kiswahili.

Hilo neno Mixx by Yas ni la kiingereza kwa asilimia zote.

Sasa sijui walikuwa wanamlenga nani ila kama sisi wateja tunatumia kiswahili hicho kingereza ni kwa ajili ya nani??

Halafuu, hayo matumizi ya maneno Mixx tulizoea ni lugha za watoto wa sekondari.

Sasa sisi watu wazima mnatukosea heshima maana hiyo sio lugha yetu.

Nawaomba wamiliki mfikirie kubadili hiyo Mixx by Yas maana mtawapa tabu bibi zetu Huko vijijini na pia sio kila mtu ni mhuni na anafurahia lugha za kihuni.

Asante.
Waliokua wanatoa 'Tigo' nimesikia sasa hivi eti anadai wanatoa 'Yas'.
 
This transformation is not limited to Tanzania. It aligns with Axian Telecom Group’s broader strategy to unify its subsidiaries across Africa under a single, robust brand to enhance its pan-African identity and strength.

Nyie mitanganyika msidhani makampuni yanawawaza nyie tu. Jina limebadilishwa nchi zote.
 
Sijui hawa watu wa YAs walifikiria nini.

Maana asilimia kubwa ya wateja hapa nchini wanatumia kiswahili.

Hilo neno Mixx by Yas ni la kiingereza kwa asilimia zote.

Sasa sijui walikuwa wanamlenga nani ila kama sisi wateja tunatumia kiswahili hicho kingereza ni kwa ajili ya nani??

Halafuu, hayo matumizi ya maneno Mixx tulizoea ni lugha za watoto wa sekondari.

Sasa sisi watu wazima mnatukosea heshima maana hiyo sio lugha yetu.

Nawaomba wamiliki mfikirie kubadili hiyo Mixx by Yas maana mtawapa tabu bibi zetu Huko vijijini na pia sio kila mtu ni mhuni na anafurahia lugha za kihuni.

Asante.
Mixx kiswahili urojo.
 
Ndiyo yale ya Young Africans kushindwa kutamkwa badala yake ikawa Yanga😀😀
 
dhambi mbaya sana, yaani ukitaka kudhurumu jambo lolote akili yako inakuwa haiko sawa unakuwa unafanya mambo kama mtu ambaye hakwenda shule..ndicho wanakifanya sasa hivi hao mabwana. Nahisi kuna kodi inakwepwa hapo....hii si kawaida kabisa!!!..wasituzugishe. Wanakwepa jambo hao
Haaahaa sisi watu wa FINANCE tumesha smell fish.

Na yupo mtu mmoja mdau mkubwa sana Tz alinipenyezea za ndaan before hata hamjatangaziwa sisi tulikua tunajua TIGO Sasa itabadilishwa na kua YAS na TIGO PESA kua MIXX BY YAS

Na moja ya sabb ni hiyo uliyo itajaa wewe.
 
Back
Top Bottom