Mixx by Yas jina la kihuni sana badala ya Tigo Pesa

Mixx by Yas jina la kihuni sana badala ya Tigo Pesa

This transformation is not limited to Tanzania. It aligns with Axian Telecom Group’s broader strategy to unify its subsidiaries across Africa under a single, robust brand to enhance its pan-African identity and strength.

Nyie mitanganyika msidhani makampuni yanawawaza nyie tu. Jina limebadilishwa nchi zote.
Kama hawatuwazi basi wachukue kampuni lao waende nalo, tuone nani mwenye hasara
 
IMG_2259.jpeg
KUMBE LISSU AMESHAFIKIA ULE UMRI WA KUTOA LAANA??
 
dhambi mbaya sana, yaani ukitaka kudhurumu jambo lolote akili yako inakuwa haiko sawa unakuwa unafanya mambo kama mtu ambaye hakwenda shule..ndicho wanakifanya sasa hivi hao mabwana. Nahisi kuna kodi inakwepwa hapo....hii si kawaida kabisa!!!..wasituzugishe. Wanakwepa jambo hao
Sheria za zenu ni mbovu, wacha wakamue tu.
 
Kama hawatuwazi basi wachukue kampuni lao waende nalo, tuone nani mwenye hasara

Akili zenu za kipuuuzi haziwezi fanya kampuni ziache kufanya business decisions. Yas au Mixx yana maana gani mbaya katika Kiswahili? Ni maneno ya Kiswahili kwanza?

Mlibadilisha maana ya neno Tigo walibadilisha jina? Wapuuzi unawapuuuza.

Nyie wamatumbi ndo mbadilike muache kuwaza ngono muda wote labda mtapiga hatua. Akili zenu zimeoza mnawaza ngono tu muda wote.
 
Wao watabki na jina lao na wateja watabaki na lao kama ilivyo sheli wakimaanisha kituo cha mafuta.
 
Kuna binti namtongoza kaniomba nimtumie hela kwa mixx by yas sijuelewa ana maana gani ,nimezunguka kwa kila wakala hawaelewi chochote. Hapa narudi home niko hoi 😡
 
Back
Top Bottom