Madeni yafe wapi nivushe wamepita na ela yangu ya mixx by yasHivi madeni yetu tigo pesa si ndio yatakua yamekufa au
Ila mkurugenzi wa tigo kawaza hili aki a wapi😃😃uyu muhuni mmoja kapotosha wateja wote sasa hauelewekiSijui hawa watu wa YAs walifikiria nini.
Maana asilimia kubwa ya wateja hapa nchini wanatumia kiswahili.
Hilo neno Mixx by Yas ni la kiingereza kwa asilimia zote.
Sasa sijui walikuwa wanamlenga nani ila kama sisi wateja tunatumia kiswahili hicho kingereza ni kwa ajili ya nani??
Halafuu, hayo matumizi ya maneno Mixx tulizoea ni lugha za watoto wa sekondari.
Sasa sisi watu wazima mnatukosea heshima maana hiyo sio lugha yetu.
Nawaomba wamiliki mfikirie kubadili hiyo Mixx by Yas maana mtawapa tabu bibi zetu Huko vijijini na pia sio kila mtu ni mhuni na anafurahia lugha za kihuni.
Asante.
Ukigoogle Yas unakutana na utatanishi sana, ukicheki maana ya mixx kwenye urban dictionary unakutana na utataSijui hawa watu wa YAs walifikiria nini. Maana asilimia kubwa ya wateja hapa nchini wanatumia kiswahili. Hilo neno Mixx by Yas ni la kiingereza kwa asilimia zote. Sasa sijui walikuwa wanamlenga nani ila kama sisi wateja tunatumia kiswahili hicho kingereza ni kwa ajili ya nani?? Halafuu, hayo matumizi ya maneno Mixx tulizoea ni lugha za watoto wa sekondari. Sasa sisi watu wazima mnatukosea heshima maana hiyo sio lugha yetu. Nawaomba wamiliki mfikirie kubadili hiyo Mixx by Yas maana mtawapa tabu bibi zetu Huko vijijini na pia sio kila mtu ni mhuni na anafurahia lugha za kihuni. Asante.
Mixx by NyashiSijui hawa watu wa YAs walifikiria nini.