Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Ila blaza muonee huruma, kaomba kuelimishwa na umempa elimu swaafiMzee John Samuel Malecela ( Waziri Mkuu Mstaafu ) una uhakika kuwa hakuwahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM kati ya mwaka 1995 hadi mwaka 2007? Ukijua Kichwani mwako ni Mtupu na huna Data za Kutosha ni vyema ukawa unakaa mbali na Mada za Zanaki and Yao Genius GENTAMYCINE Mimi sawa?
Kwa taarifa yako Mh Mizengo ni mtu imara na anayebadiki kulingana na mazingira.No,Mizengo siafiki kwa sasa,pale panahitaji mtu tough kidogo,kule kwenye chama kuna watu wana guvu sana na ndio wanamyumbisha mama,sasa kama akimuweka Mizengo kuna hatari wakamburuza...
Ni wapi umesikia Nchi ikiuzwa kama mbuzi mnadaniKumsaidia kuuza nchi au kufanyaje?
Majuha kama hao huwa wakijaa tu katika 18 zangu huwa sipendi Kuwachelewesha. Na kauliza Kinafiki sema hujajua tu.Ila blaza muonee huruma, kaomba kuelimishwa na umempa elimu swaafi
Kwa nini unadharau uzoefu wako? Jipigie debe uwe Makamu Mwenyekiti. Uzuri Nafasi hiyo majukumu yake yameanishwa kwenye katiba ya Chama na nyongeza ya kanuni zi Chama. Uzoefu wa wengine utaupata humo humo kwa Sasa tumia uzoefu wakoNafasi hiyo inamfaa sana Mheshimiwa Pinda kutokana na uzoefu alio nao
Nashukuru Mkuu.Kwa nini unadharau uzoefu wako? Jipigie debe uwe Makamu Mwenyekiti. Uzuri Nafasi hiyo majukumu yake yameanishwa kwenye katiba ya Chama na nyongeza ya kanuni zi Chama. Uzoefu wa wengine utaupata humo humo kwa Sasa tumia uzoefu wako
Upinzan bado wanajitafuta sana.Ungependa CCM ivuke salama 2025 Ili iweje!!