Mizengo Pinda aongezwa kwenye Kikosi cha Rais cha kukusanya maoni ya Katiba Mpya

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba , Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu , Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya .
Hatuwezi kupata katiba mpya ya wananchi ikiwa yule aliyekwamisha upatikanaji wake bado yuko hai, JK, ana madaraka makubwa awamu ya sita kuliko rais
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba , Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu , Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya .
Mbona maoni tayari yalishakusanywa, kuingia gharama mara ya pili ni kupoteza pesa za umma bila sababu ya msingi!!
 
Nilikuwa nadhani Rais ana nia njema kwenye ishu ya kikosi kazi, ila naona sasa anataka CCM iteke huu mchakato.

Kwa hili la kumuingiza Pinda katika kikosi kazi naona Samia hana nia njema na anatupotezea muda.

Hiki ni kikosi kazi cha CCM, hakina Legitimacy yoyote
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba , Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu , Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya .
Atatoa maoni gani huyu aliyewahi kusema piga tuu.
 
Nilikuwa nadhani Rais ana nia njema kwenye ishu ya kikosi kazi, ila naona sasa anataka CCM iteke huu mchakato.

Kwa hili la kumuingiza Pinda katika kikosi kazi naona Samia hana nia njema na anatupotezea muda.

Hiki ni kikosi kazi cha CCM, hakina Legitimacy yoyote
Hakujawahi kuwepo mwanaccm mwenye nia njema na nchi hii
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba , Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu , Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya .
Anawakilisha wafugaji wa nyuki au😀
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba , Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu , Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya .
Mkuu Erythro, nadhani kwa mara ya kwanza nitasema hapa kuwa unapotosha. Ni lini kumekuwepo na "Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu 'Katiba Mpya'"?

Hiki kikosi kilichopo kinakusanya maoni kuhusu katiba mpya? Wao hawakutoa maoni kuwa hilo ni swala baada ya 2025?
Au kuna hadidu rejea nyingine ambazo wamepewa ikiwemo hilo swala la katiba mpya?

Magoli ya mkono hufungwa hivi hivi kwa mikanganyiko isiyopewa umakini.

Sasa CHADEMA wataanza kuliweka pembeni swala hilo (maksudi?) kwa kueleza kuwa linashughulikiwa na kikosi kazi?
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba , Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu , Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya .
CCM ni kikwazo kwenye katiba mpya, wanachofanya ni sawa na timu ya mpira inaongeza nguvu ili ipate ushindi.
 
Hiki kikosi kazi kinaweza kuwa upotevu wa pesa bure tuu! Kama kweli tunataka katiba mpya basi tuchukue maoni ya tume ya judge warioba maana walishafanya kila jambo!
Unachukuaje maoni ya miaka 10 iliyopita?
 
Hata kama tungepata ile katiba 2014, leo tungekuwa tumeshahitaji mabadiliko mengine.
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba, Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya.
Kumbe hakuwepo mwanzo waliona hafai nini??!!
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba, Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya.
Ingependeza zaidi kama angechagua watu katika taasisi nyingine kuliko kulenga wanasiasa hususa wa chama tawala
 
Back
Top Bottom