Hii katiba itakuja kwa maumivu makali. Naomba tu mamlaka ziendelee kujenga shule za secondary kila Kijiji. Nakumbuka jinsi shule za kata zilipoanza kutema kwa mara ya kwanza jinsi vijana walivyo leta hamasa mtaani( uchaguzi wa Dr Slaa na Jk 2010) Hadi Jenerali Shimbo akatumika kutisha watu na kwa mara ya kwanza afisa wa juu kabsa wa Tiss ( Jacob Zoka) kutoka hadharani kuyakana mawasiliano yake ya uchakachuaji kati yake na Zito Kabwe na Rostam Aziz.Wapi waliwahi kuwa na nia nzuri ?