Mizengo Pinda aongezwa kwenye Kikosi cha Rais cha kukusanya maoni ya Katiba Mpya

Mizengo Pinda aongezwa kwenye Kikosi cha Rais cha kukusanya maoni ya Katiba Mpya

Vitu vinavyokwamisha katiba mpya ni hivi

1) muungano
2) uraia pacha

CCM wanajua muungano ukiguswa utavunjika, uraia pacha ukiruhusiwa WaAsia waliopoteza mali zao baada ya Azimio la Arusha watarudi kuzidai.
 
Huyu mama!ipo siku atajilaumu Sana KWA HIZI sarakasi za KATIBA MPYA!!
TUSUBIRI

Tatizo la huyu mama ni kufuata kila kitu anachoambiwa na Kikwete!! Kikwete has always had an axe to grind na Warioba na mara nyingi akimtumia Wassira[ yeye alimbatiza Tyson] kumkabili Warioba!! Kikwete mpaka hivi leo hajatoa sababu kwanini alihujumu ile rasimu ya Warioba iliyofanya Kazi nchi Nzima na ambayo huyu huyu Hangaya alikuwa makamu wa mwenyekiti wa ile TUME ya Katiba!!!
 
Vitu vinavyokwamisha katiba mpya ni hivi

1) muungano
2) uraia pacha

CCM wanajua muungano ukiguswa utavunjika, uraia pacha ukiruhusiwa WaAsia waliopoteza mali zao baada ya Azimio la Arusha watarudi kuzidai.
Mkuu

Tayari ishu ya muungano zinabaki mbili kama ilivofanyiwa UTAFITI.

Ishu ya uraia pacha haiepukiki hata kidogo

Ishu PEKEE inayowaumiza ni madaraka ya Rais na hofu ya kupoteza Mali walizochuma kwa UFISADI na WIZI hapo tu!!!
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba, Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya.

View attachment 2244576
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akitambulishwa kwenye kikosi kazi cha Rais
Badala ya kuita mtu mmoja mmoja au vikundi watumie mitamdao ya simu. Watu watume maoni yao kwa SMS au kwa WhatsApp. Wataokoa muda na fedha za vikao nk.
Kweli hawa pipo ama si wabunifu au wabishi tu.
 
Halafu kuna fikra potofu kwamba watu walewale waliovuruga kazi nzuri ya Jaji Warioba ndiyo wenye mawazo mapya! Pinda si timu ya Kikwete?
 
Pinda ni yale mazee flani yanaoona nchi ni mali yao na kudharau raia. Mazee haya yanapeana ulaji tu hayakomi kutafuna nchi . Nadhani kuna mahali hili Zee liliwahi kumsaidia Samia ndo maana Bimkubwa nae analipa fadhila,

Tangu jana najiuliza sasa sijui Pinda atachangia nini zaidi ya kuweka ibara hii " wapigwe tu maana hakuna namna" jeshi liweke kituo cha Polisi kila mtaa na kuwe na defenders 4 za kujaza vijana wanaotoka kuangalia mpira vibanda umiza usiku badala ya kulala. Kwa ibara 1 b hao vijana ni wazururaji wapigwe tu!!

maswali yangu

1.Hivi ni nani kawaambia waunde kikosi kazi cha mchakato wa katiba? mbona kama wanahangaika sana presha inatoka wapi?huku mtaani ninakoishi hakuna mtu anaejali hicho kikosi kazi chao watu wako bize na mambo yao

2. Nani kawaambia anahitaji mchakato katiba yao wanayoiandaa maana katiba yetu wananchi ipo ni ile Rasimu ya Warioba sidhani kuna raia wana interest na kikosi kazi chao

3. Hivi hiyo katiba wanayounda ni ya maslahi ya nani? Maana Chenge alitengeneza marekebisho ya katiba mwaka 1984 yanayokataza wizi na yeye akaja kuwa kiongozi na kinara wa majizi nchini

4. Bajeti waliyoweka ni tsh ngapi? pesa yake ni kodi ya wananchi au msaada kutoka nje?

5. Je huu ni mchakato tu wa kukusanya maoni au wana lengo la kutengeza katiba mpya isiyozuia vyama vya siasa vya upinzani kufanya shughuli zao na kufuta ujinga wa siasa ya kijinga ya ujamaa na kujitegemea?

6. Watuambie lini mwisho wa kazi ya hicho kikosi kodi zetu zinatuuma huku mtaani njaa kali mno wababa wanakimbia miji zao kweli hatutamsahau Magufuli hizi tozo na kuvunjiwa vibanda vyetu Mungu anawaona

7. Mbona Fatma Karume sijamsikia humo au yupo na Chenge pia awepo kikosini japo ni jizi ila ni muhimu lina akili
 
-Nini hadidu rejea za kikosi kazi Cha mama Samia?
-Hadidu rejea hizo ni tofauti na hadidu rejea za tume ya Judge Warioba?
-Kwa nini Serikali inafanya matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kulipana posho, kufanya suala ambalo majibu yake wanayoyajua?
-Kikosi kazi hiki kimepewa time frame ya kukamilisha zoezi lao
 
Mkuu

Tayari ishu ya muungano zinabaki mbili kama ilivofanyiwa UTAFITI.

Ishu ya uraia pacha haiepukiki hata kidogo

Ishu PEKEE inayowaumiza ni madaraka ya Rais na hofu ya kupoteza Mali walizochuma kwa UFISADI na WIZI hapo tu!!!

Ishu ya muungano bado ipo. Wanaotaka Tanganyika irudi wapo. CCM wanaogopa muungano ukiguswa utavunjika. Wako tayari kuulinda muungano kwa gharama yoyote.
 
Asset ya kuagiza raia wapigwe tu!!
Alishaomba msamaha. Ila wakaidi wote sio raia. Ni wahalifu. Duniani kote wanapigwa na ndio maana hata juzi mashabiki wa Liverpool walipigwa mboko na tear gas pale Ufaransa, kisa ukaidi wao.
 
Ishu PEKEE inayowaumiza ni madaraka ya Rais na hofu ya kupoteza Mali walizochuma kwa UFISADI na WIZI hapo tu!!!

Hii ndiyo ilikuwa Sababu ya Kikwete kuhujumu rasimu ya Katiba ya Warioba Kwani alihisi yeye angekuwa wa kwanza kuwajibika kutokana na ufisadi aliofanya kwa miaka kumi ya utawala wake!! Mpaka leo hilo ndiyo linamfanya aogope na kuhujumu hatua zote za kupata katiba mpya; ikiwemo kuwajaza rafiki zake kwenye hicho kikosi kazi cha Hangaya ili walinde maslahi yao!

Ufisadi ndiyo unamtesa ; mwenzie wa Gambia mali na majumba yake yametaifishwa huko Marekani !!
 
Yale maoni ya Tume ya Jaji Warioba ndiyo yenyewe... Kwamba wanataka kuyatupa wakusanye mengine au?

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app

Inaelekea huo ndiyo mpango wao otherwise huko mkoani wana kwenda kufanya nini? Serikali haina fedha ya kumalizia hii mirada ya SGR na Bwawa la Nyerere halafu wanataka kupoteza hela kuwahonga hawa kikosi cha Hangaya ili kije na mambo yatakayolinda maslahi yao!!

Kwanza kabisa hiki kikosi kazi cha Hangaya hakiwakilishi wananchi wote kama vile ile TUME YA WARIOBA ilivyowawakilisha wananchi!! Kikwete/Hangaya wamewakusanya watu wao toka ccm na Saccos za ZITTO, Hamad Rashid na Saccos Nyingine wakazipa jina kuwa ni vyama nya siasa na wakawajumuisha mapadri na masheikh na hao ndio wakawa kikosi kazi!! Nchi hii kuna watu hawana dini wala si wafuasi wa vyama vya siasa na ni wengi hivyo hawa hawajawakilishwa kwenye hico kikosi kazi na dio maana watu wanasema; hicho kikosi ni cha Kikwete na Hangaya na hakina legitimacy ya kuwawakilisha wananchi!!
 
Hiki kikosi kazi kitachakachua maoni.... Kimsingi inatakuwa tubaki pale pale kwa Warioba...yule mzee alishamaliza kazi

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Kama ilivyo kwa Watu wenye Low IQ huyo Dingi ni Loyal to everything.

Samia achunge hawa CCM Hardliners wasije kumharibia.

Hiyo Tume/Kikosi kazi kinaenda kufanywa Kijiwe cha kunywea Bia na Wanawake wa Mikorogo.
 
Back
Top Bottom