Hii katiba itakuja kwa maumivu makali. Naomba tu mamlaka ziendelee kujenga shule za secondary kila Kijiji. Nakumbuka jinsi shule za kata zilipoanza kutema kwa mara ya kwanza jinsi vijana walivyo leta hamasa mtaani( uchaguzi wa Dr Slaa na Jk 2010) Hadi Jenerali Shimbo akatumika kutisha watu na kwa mara ya kwanza afisa wa juu kabsa wa Tiss ( Jacob Zoka) kutoka hadharani kuyakana mawasiliano yake ya uchakachuaji kati yake na Zito Kabwe na Rostam Aziz.Wapi waliwahi kuwa na nia nzuri ?
Hapa hakuna kikosi tena, makacheleo ndo amejazwa, huko ,WENDA nia ilikua nzuri, why wazee wa na wenye nchi mfano Warioba wasingepewa majukum ya kuunda kikosi ichi, mtabaki na kikosi chenuTaarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba, Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya.
View attachment 2244576
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akitambulishwa kwenye kikosi kazi cha Rais
Jamani haya maoni yanakusanywa kwa kina nani?80%ya walio vijijini ni STD VII . wengi wa wananchi hawajui nini maana ya kumshitaki raisi akikosea ila wajuavyo wao ni kupiga kura tuu.sasa kutumia mabilion ya pesa kwenda vijijini kukusanya maoni kwa wakulima ni kuharibu KATIBA.Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba, Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya.
View attachment 2244576
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akitambulishwa kwenye kikosi kazi cha Rais
hahahaa mzee wa watandikwe tu hakuna namna tumechokaTaarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba, Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya.
View attachment 2244576
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akitambulishwa kwenye kikosi kazi cha Rais
Maoni ya katiba mpya yalishakusanywa na tume ya Warioba na kuandaliwa rasimu.Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba, Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya.
View attachment 2244576
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akitambulishwa kwenye kikosi kazi cha Rais
Wanakula tu jasho la Watz.Nilikuwa nadhani Rais ana nia njema kwenye ishu ya kikosi kazi, ila naona sasa anataka CCM iteke huu mchakato.
Kwa hili la kumuingiza Pinda katika kikosi kazi naona Samia hana nia njema na anatupotezea muda.
Hiki ni kikosi kazi cha CCM, hakina Legitimacy yoyote
Hangaya anapiga danadana ili aonekane nae yuko serious na hili jambo la katiba mpya. Ukweli mchungu, kikosi kazi hakitaleta maajabu yoyote zaidi ya utashi wa sterling Maoni ya wananchi ni yale ya warioba. Serikali tatu haswaa, sio hizi serikali mbili kwa mataifa mawili yaliyoungana kuwa mataifa mawili sio moja wala matatu.Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba, Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya.
View attachment 2244576
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akitambulishwa kwenye kikosi kazi cha Rais
Haswaaaaa !!!Mzee wa "kazi maalum" wa enzi na enzi.
Hii kazi alishafanya Warioba,nchi yetu hatuna vipaumbele kabisa yaaniTaarifa zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba, Mh Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa miongoni mwa Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu Katiba Mpya.
View attachment 2244576
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akitambulishwa kwenye kikosi kazi cha Rais
Bado ccm inaamini kwamba Watanzania ni Zumbukuku , angalia hata kesi za uongo wanazobambika wapinzaniHii kazi alishafanya Warioba,nchi yetu hatuna vipaumbele kabisa yaani
Hiyo tume haimaniki..Wengi ni wachumia matumboKikosi kazi ni njia ya kuuzunguka mbuyu wakati njia tunaifahamu.
Mbona maoni tayari yalishakusanywa, kuingia gharama mara ya pili ni kupoteza pesa za umma bila sababu ya msingi!!
Hata kama tungepata ile katiba 2014, leo tungekuwa tumeshahitaji mabadiliko mengine.